WELLINESS!!


WELLNESS
Umewahi kulisikia hili neno?
Kwa ufupi linasanifu dhana nzima ya AFYA.
Ila afya hii inaweza kuwa ya kimwili (physical), kiakili (mental), kipesa (financial), kinahusiano (relationship), kijamii (social), kikazi(occupational), kiroho (spiritual), kihisia (emotional), kimazingira (environmental) na hata ya kitabibu (medical).
Tunahitaji afya zote hizi kuwa kamili na wenye furaha (for optimal well-being).
Dhana hii ya WELLNESS itaelezewa kwa ufupi kwa nini ni muhimu kwako katika hotel wa Blue Pearl, Ubungo Plaza, jumapili tarehe 2 Desemba 2012 toka saa 8 mchana hadi 1 jioni. Wataalam wenye uzoefu katika fani hii watakuelimisha kwa muda mchache.
Uzinduzi huu utasindikizwa na mwanamuziki WAHU KAGWI toka Kenya akikuambia BETTER DAY. “Whatever you are going through today, there always gonna be a better day”.

Kiingilio: 20,000/= only per head

COME ONE, COME ALL.
Tickets zinapatikana 8020 fashions Sinza Mapambano
NB: HAKUNA TIKETI ZITAKAZOUZWA MLANGONI SIKU YA JUMAPILI. Deadline jumamosi saa 4 asubuhi. Only limited seats
NB: Get ready to step on GREEN CARPET for pictures, the carpet of HEALTH
Call 0654 083977 for any enquiry

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

No comments:

Post a Comment