USIKU WA FATMA - MAGOMENI


Decoration by Katte, +255 715 432 289 - umeona mapambo eeh!! pigia yeye simu mpe kazi!!
 ZawadiFatmah akiingia ukumbini
 Fatma akiingizwa na masomo zake
 Mwali akifuchuliwa
 Dada mtu Fatmah Hassanol akimfichua mdogo wake
FatmaRusha RohoCake & Champaign 


 heshima kwa somo bure, hapana chezea somo!!

 Zawadi
 Fatmah Hassanol akienda kabidhi zawadi zake alimkabidhi pete na hereni

 somo bure akikabidhi jiko la gesi lenye oven, hapana chezea Bure
 akikabidhi washing machine
 
 somo akifutwa jasho..!!


 MC Nusura aliingia ghalfa na kumtunza Fatmah Hassanol
Fatma Hassanol akifutwa jasho!!

  

 Hapana chezea Tanisa Mwaibula, hasara roho pesa makaratasi, akimtunza somo Bure
 akimtunza Kubwa la maadui, bi hafua wa Gusagusa Min Band
NYUSO
 Fathiya & shostito

 Watoto wa Karikoo, hapana chezea Tanisa Mwaibula & Zuhura 
Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

4 comments:

 1. ilinoga xanaaaaa....bt mbona wengine hatuwaoni..? zilipigwa picha nyingi bt mbona hamkuweka zote..? wekeni jaman

  ReplyDelete
 2. shughuli nzuri lakini punguzeni make-up mnatisha

  ReplyDelete
 3. Bure unahangaika hao wenye kujaza make-up wala hawaingii humu,basi tuwaangalie tu au tumuagize Dada Helen apeleke salaam zetu aaaahhhhhhh!

  ReplyDelete
 4. Shughuli nzuri zinapendaza lakini kweli hizo make zingine hazipendezi nionavyo mimi hao wanaweka make up kama hizo hivyo hujui chunguza utaona wote ni wale wenye umri wangu ambao siku zimepita wanajaza hivyo wanadani ndio dawa ya kuvicha mikunjo ya usoni.

  ReplyDelete