Sponsor

SKIN SOLUTION BEAUTY TIP-THE BEST MOISTURISER YA CLINIQUE (DRAMATICALLY DIFFERENT)

12:04:00 AM


Kazi ya moisturiser ni kulisha ngozi yako ili iwe na afya na kama mjuavyo ukilisha ngozi yako na chakula kizuri yaani moisturiser nzuri , ngozi inapata afya....!!! zaidi bonyeza kitufe ujue Skin Solutions wanapatikana wapi
Hivyo basi  clinique inakupa moisturier mbali mbali kulingana na mahitaji ya ngozi yako , wale wenye ngozi  za mafuta munashauriwa kutumia gel kwasababu gel moisturisers hazina mafuta ( ziko light and oil free), wale wenye ngozi kavu moisturiser iko creamy ili iweze kukinga ngozi na kuizuia kua kavu.
Kila ngozi inahitaji moisturiser,kutotumia moisturiser mara kwa mara usababisha ngozi kua kavu na kupoteza mzuto na kutokea kwa makunjo ya usoni (wrinkles) mapema wasiliana au tembelea watalaam wa skin solutions upate ushauri zaidi ya moisturiser inayo endana na aina ya ngozi yako.
Wasiliana nao kupitia:- 

+255  767 780 014
+255 783 036  666

kuona zaidi ingia SKINSOLUTIONTZ.BLOGSPOT

You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.