ROYAL WEDDING UGANDA-PRINCESS RUTH KOMUNTALE INTRODUCTION CEREMONY!!


Princess Ruth Komuntale ni mtoto wa late king Patrick Olimi Kaboyo III, hii ilikuwa sherehe ya utambulisho, harusi yao ni kesho jumamosi....!! bonyeza kitufe uone picha zaidi.....!!!
 

 Princess Ruth akiwa na Shangazi yake wakati wa utambulisho 
eti huu ni mkeka!!
 eti huu ni mkeka!!
 Thomas akimvalisha mchumba ushanga wa kimila shingoni
 Christopher akiwa na kaka yake!
 Princess Bagaya kulia akiongoza katika ngoma ya kifalme!!!
ndugu na marafiki wa royal family wakiwa tayari kutoa zawadi zao!!
 Mama mzazi wa Ruth
Marafiki wa Ruth

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

5 comments:

 1. Jamani hebu angalieni makeups za wenzetu zilivyotulia, yaani ziko natural hamna marangirangi kama za kwetu bongo. Bibi harusi kapendeza sana,makeup yake first class. Angalieni wale rafiki zake wanne, yaani nyuso zao ziko natural, makeup kwa mbali na wamependeza sana. Akina mama wa kibongo tafadhalini tujifunze kutokana na wenzetu. Shughuli nzuri haina makashikashi mengi, imetulia, kwa kweli ni nzuri sana.

  ReplyDelete
 2. kwa anonymous no 1. Shida ya wamama wa bongo si make up! Ni mkorogo shosti!!! hauna tiba! watabaki hivyohiyo hata uwakumbushe mara 100!

  ReplyDelete
 3. nanyie umbea tuu, make up zetu na mikorogo yetu vinawawasha nini?

  ReplyDelete
  Replies
  1. ila mkaka ni mzurii jamani yani natamani nimtafune hapa mweee chuchu zishanisimama wima, ila ndio keshawaiwa na binti mzuriii

   Delete
 4. Watanzania hatujipendi, kila kukicha tunajikosoa bila ya sababu ya maana. Bi harusi na wenzie wamependeza, lakini hakuna cha zaidi, kuna Watanzania wanaopaka makeup zilizotulia na kuna wasiopaka zilizotulia, tunatofautiana kwa elimu, exposure to foreign culture, na mila za kikabila. Kipende chako. Naelewa kuwa ni lazima tuambiane ukweli lakini hili suala la makeup limezidi, kila kukicha make up this make up that. Jamani kama unamjua mtu ambaye upaka poda wake unakukera mwendee yeye binafsi umwambie.
  Yaani Watanzania tunaona watu wa nje ndiyo bora kuliko sisi. Kumbukla hao unaowaona magazetini ni watu ambao wanajitoa magazetini, ukienda Lagos, Kampala , Nairobi hata New York utawakuta tu watu ambao upakaji makeup wao ni wa kienyeji enyeji. Siyo kila mtu ni Beyonce au Hale B.

  ReplyDelete