R.I.P SHARO BILLIONEA

 Ni habari za kusikitisha zilizotawala karibia nchi yote, lakini sisi kama binadam kifo kimeumbwa kwa ajili yetu, tuishi maisha tukijua kwamba siku moja tutarejea kwa Mola wetu, na pia nasikitishwa sana na picha ya marehemu ambayo wengine wameweka kama profile picha kwenye BBM au FB, sio sawa, ingie ndani usome chat yake ya mwisho kwenye BBM akielekea Tanga kama vile alijua!!!


Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

6 comments:

 1. Maskini kama alijua, inna lilahi waina illahi rajun, nimeumia sana dada Hellen

  ReplyDelete
 2. inauma ile mbaya duh R.I.P kizuri hakidumu

  ReplyDelete
 3. sijui kwa nini watanga tunapenda kuuana

  ReplyDelete
 4. inasemekana kuwa Sharo kafariki mida ya sa mbili usiku, hiyo BBM chat inaonyesha ni sa 10:47 PM.................. inakuwaje???? mnatuacha njiapanda

  ReplyDelete
 5. Sio kila mtu saa yake ya bbm inasoma sawa!

  ReplyDelete
 6. Shika adabu yako tafadhali! Mi ni mtanga lkn sipendi kuua mtu! Semea nafsi yako na usichanganye watanga kwenye huo upupu wako wewe anony hapo juu. Pumzika kwa amani mpendwa wetu sharo milionea.

  ReplyDelete