Sponsor

PATA HENNA DESIGN - SUNDANESE, ARABIAN & INDIAN

4:38:00 AM

Kwa hivi sasa michoro inayopendwa sana ni hii ya kisudani, ziko saloon nyingi za kupaka wanja (henna) katika ufundi mkubwa sana, je swali kwa wadau wangu wanja una faida gani katika mwili wa mwanamke ni pambo tu au kuna la ziada?? na kwa nini kuna michoro ya kisudan, arabian & Indian Kiswahili je?? na hina inaota hapa kwetu?? kwanini hatuna michoro yetu??wadau ni vinzuri kujuzana uenda tuko wengi hatulijui hili!, ni sehemu zipi zavutia kwa kuchora wanja?? wewe ujuwae zaidi na zaidi tujuze tafadhali, na sie tuchore huo wanja, bonyeza hapo chini uone michoro ya ukweee'ee....!!PHOTOCREDIT MDAU WA MASHUGHULI BLOG

You Might Also Like

8 comments

 1. mashaallah inavutia sana

  ReplyDelete
 2. mashaallah inavutia sana

  ReplyDelete
 3. hebu tuambie twaweza wapata wapi hao wanaochora hvyo ni nzuri kweli

  ReplyDelete
 4. Maa sha-allah inaleta raha ni tamu haswa. wapi mlipo?

  ReplyDelete
 5. Mmmmh...!!!!its looks nicely....hata aso mpekuzi ataangalia tu ila isiwe kujitandaza.....mwanamke hijabu!!!!

  ReplyDelete

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.