Sponsor

NAIJA WEDDINGS

11:33:00 AM

 Hii ni kiboko nimeipendaje... ebu angalia mamboz
You Might Also Like

4 comments

 1. hawa wenzetu wanapambiwa majumbani?

  ReplyDelete
 2. Ndio wanapambiwa majumbani. Mbona hata hapa Bongo wapo watu wanafanya hivyo. Ni hela yako tuu. Maana mpambaji akikufuata zitakutoka zaidi.

  ReplyDelete
 3. Inaweza ikawa sio nyumbani ni saloon kwani hata huku oman unakuta saloon ni nyumba kubwa hasa kwa kupambia maharusi

  ReplyDelete
 4. wamependeza kwelikweli..afu wanajua sana kupangilia rangi

  ReplyDelete

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.