NAIJA - TRADITIONAL WEDDING!!

 Maandalizi ya mambo ya make-up, wenzetu wanawatumia sana make-up artist sio kwa bi arusi tu bali ni kwa close family kama vile mama, dada sote mnarembwa, so saloon inhamia nyumbani, nasikia kama nyumba ndogo, basi wanaenda hotel wanachukua sehemu kubwa zaidi.
 mikono juu een ifungwe vinzuri
 Mambo ya BBM hayo!!


 kina dada nao...!! si mnaona mandhari ya nyumbani
 Accessories (Mazagazaga) 
 Viatu, hii nikutuonyesha kila kitu kiko kwenye mpangilio, sio time ya kutoka imefika ah! bi harusi hana kiatu!!!
Decor...!!!
 Hapa mimi wananimaliza sana, lazima tufanye mabadiliko, umeona hakuna maua sio lazima kila kitu maua yamejazana!!
 Kwa keki pia wao ni nambari one hata ujumbe  ni mnzuri sana
 nimependa sana umeona meza zilivyokaa staili tofauti, maua sio lazima roses jamani!!
 Dadaz!!
 Baba, Mama na mtoto
 mchumba anarefresh kwa gazeti Mwali akifunuliwa!!
 umeona mfichue mwali bakuli limejaa pesa, napenda sana mila za kiafrika!
 Bibi akifurai, vimshono pembeni!!
Nguo ya pili kwa maarusi, hii sasa ni wote wabadili
 make-up inarepewa!!
 Mume akisaidia kufunga kiatuMashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

1 comment:

  1. Yaani nakupendaje Aunty, tofauti ni kubwa ukiingia mashughuli unakuta vitu tofauti kabisa, kuna blog habari zinafanana kila siku, hata arusi za kinaigeria zote zimetoka bellanaija sasa wewe unaonesha tofauti arusi za hapa sio bellanaija ambako na sisi wadau tunaingia sijui umetoa wapi nimeguswa sana na hili

    ReplyDelete