Sponsor

MH. WAZIRI SOPHIA SIMBA NDIYE MGENI RASMI, USIKU WA KHANGA ZA KALE-SERENA HOTEL

10:47:00 PM

Mhe.Sophia Simba Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia na
Watoto, ambaye pia ni Mwenyekiti wa UWT Taifa
ndiye mgeni rasmi usiku wa khanga za kale,
siku ya Ijumaa Serena hotel, 25 designer & celebrities
watapanda jukwaani, live band ya KING KIKI & Namujo Art
Group!! wahi tiketi yako sasa!!

You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.