MACHAME GIRLS SECONDARY SCHOOL (MAGISESCO)


Tunapenda kuwajulisha wale wote waliosoma au anasoma shule ya sekondari ya wasichana Machame (MACHAME GIRLS SECONDARY SCHOOL) Mwaka wowote ule
hata kama ulisoma ukahama tutakuwa na kikao siku ya Jumapili hii tarehe mbili (02/12/2012) pale LUNCH TIME HOTEL ipo opposite na Hostel ya Mabibo saa nane kamili.
Wahusika ni wale wote wanasoma au walisoma MAGISESCO.

Tafadhali mjulishe na mwenzako ni muhimu sana na siyo ya kukosa, karibuni sana.

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

No comments:

Post a Comment