LOOK OF THE DAY!!

 Maajabu ya ngozi nyeusi, ukiitunza vinzuri.....!! kuona zaidi bonyeza kitufe!!!


Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

3 comments:

  1. KITU NATURAL BWANA , SIO MIKOROGOOOOO

    ReplyDelete
  2. black is beauty,nawashangaa sana wanaojikoroga

    ReplyDelete
  3. Kuna makeup za kila rangi modal wengi wanapakwa ili kukazia rangi Kama ukiangalia picha ya kwanza Ina mng'ao flani hivi, unakumbuka kuna wakati beyonce alipiga picha za kimasai? Mikorogo ni mibaya watu wanashindwa kujivunia ambacho weupe wanakosa, mpaka wanapata Kansa kwa kutaka rangi kidogo.

    ReplyDelete