KITCHEN PARTY YA SALAMA!

Venue  :: Lamada
Colour  ::Pink, Purple, Black & white
Dress    :: Amina Design 
MC      :: Kide
Make-up & Hairdo's - Rehema-+255 713 213 109

Jana tulikuwa kwenye kitchen party ya Salama, wadau Salama ni mdogo wake Amina Design, hapa aliingia na kwa tashtiti zote za kidole juu, hapana chezea!! je wataka nikujuze nani alimuingiza live ukumbini, kama kawaida bonyza kitufe umuone binti alivyopendeza, accesories na nguo za ukwee'e
 alirushaje roho kwa mipasho ya Khadija Kopa!
MC Kide ndio uliyekamilisha kazi!!
SALAMA!!!


 umeona make-up hakuna tofauti shingoni na usoni eeh!!
  


 Baada ya bi harusi wetu kuingia, Amina Design alitukaribisha!!

Salama akitoa utambulisho wa familia
Zawadi
 Cake!!!
Champgnie 


 Zawadi ya wazazi!!
Asante my sister!!

Tunza!!
Amina Plummer, alitunzwa na ndugu zakem


 Nyuso

 Fatmah & Hellen
 Amina & Fatmah

 Fadya & Amina!, nguo ya Fadya designer wake ni Bahiya!!
 Shumu, designer wa nguo hii ni yule yule Bahiya

 Wazazi
Nguo-design by Halima Kamusi

 SwagaMashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

12 comments:

 1. nimependa,bi harusi na wegineo wote pendeza sana

  ReplyDelete
 2. make ups watu wajifunze humu, saaaafi watu wamependeza

  ReplyDelete
 3. Jamani tunaomba kujua make-up ni ya wapi,nasi tukapambwe huko.

  ReplyDelete
 4. EHEEEEE mpambaji, tafadhali jitokeze tafadhali, kwa kweli licha ya kupata tu tenda za kuweka ma biarusi na wengine make-up bali pia tutoa funzo kwa wawekaji make-ups, hivi ndo inavopendeza, yaani almost natural!!! si kama wacheza vilua!!! umependeza bi arusi na hongera sana sana na zaidi tunamsifu pia na kumfyagilia muweka make-up wako!!!

  ReplyDelete
 5. Wadau namba ya aliyemfanyia make-up ni Rehema +255 713 213 109

  ReplyDelete
 6. Mashallah Bi Rehema hodari make-up imepoa!

  ReplyDelete
 7. bi harusi mtarajiwa was simple and amependeza sana, pia wifi yangu Fadya katokelezea as always, she is cute hata akivaa nguo ya gunia anapendeza tu. MASHA-ALLAH FADYA

  ReplyDelete
 8. Now you are talking kuhusu makeups, ndivyo inavyotakiwa iwe nimependa sana. Bibi harusi mtarajiwa na akina mama wote wamependeza, shughuli hii imeenda shule. Hongera sana.

  ReplyDelete
 9. WAtoto wa kariakoo nadhani sasa mtajifunza kidogo kuhusu make-up iweje mkiangalia hii shughuli

  ReplyDelete
 10. Bff pendeza sana mashallah nguo imekutoa na rangi nzuri upo juu wangu.haruci pia sura imetulia ukiwa mzuri mzuri mpe hongera sana!

  ReplyDelete
 11. Bi harusi mtarajiwa mashallah mashalla Mungu akuzidishie nuru na akupe ndoa ya salama mambo yote safi kwenye keki tu ndo mtibwiriko yani hakieleweki ni ni nini sufuria, tray,chano mradi alokufanyia kairipua

  ReplyDelete
 12. hongera nimejifunza mengi kutoka kwako.nami nitayaiga

  ReplyDelete