KITCHEN PARTY YA MWANAISHA ABDALLAH

Venue    :: Tambaza Hall
Colour   ::Purple & Yellow
Designer::Bahiya Lumelezi - +255 713 233 362
Make-up::Shumu +255 715 333 008
MC        :: Dalilah

Bi Harusi mtarajiwa akiingia ukumbini..!!, bonyeza kitufe uone keki yake, watu walipendezaje, mambo ya kibao!!!
Designer wa nguo ya biharusi akicheza!!

NYUSO


Mwanaisha & dalilah Red CarpetMashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

5 comments:

 1. JAMANI WAELEZENI WANAWAKE MADHARA YA KUJICHUBUA. YAPO MENGI SANA HAYA MADHARA.

  ReplyDelete
 2. Jamani hivi ni lazima mtu apake makeup? Kwani wanja na lipstick havitoshi? Kwa kweli kuna akina mama wengine tena watu wazima hizo makeups zao zinawafanya wanatisha badala ya kupendeza. Tujaribu kuwa natural, black is beautiful! Tuache kuiga wenzetu au kama mtu unataka kupaka foundation tafuta ile inayoendana na rangi yako ya mwili. Its disgusting!!! Samahani kwa lugha mbaya lakini inaudhi kwa kweli.

  ReplyDelete
 3. mwanamke wa kiswahili shurti uso uwe na rangirangi kama batiki ndo anajiona katokelezea,kazi ipo. Bi harusi ulipendeza,nguo nzuri

  ReplyDelete
 4. Majungu ya nini? Kwani anaenda kazini huyo? Hiyo ni siku yake ya furaha katika maisha. It's happening once in a life time - so ma-make-p kwa siku kama hiyo ni lazima kwa sababu yupo katika furaha ya ndoa. Wabongo hamuishi majungu - lo! Ptuuu!

  Weny wivu wajinyonge!


  Muddy Bonge - Lupinga!

  ReplyDelete