Sponsor

KIMTINDO!!!-ANKARA CLUTCH, ACCESSORIES!!

12:36:00 AM

 Huyu ni designer wa Naigeria ambaye aliishi Britain kwa miaka 17 na mwisho amerudi Naigeria, ameolewa na ana watoto 2, (Tobi & Teri)  ametengeneza jina la design zake kutoka herufi za kwanza za watoto wake To Te, anatengeneza ankara handbags, Ankara Laptop cases, Ankara Neckles  & clutch, bonyeza kitufe uone zaidiYou Might Also Like

2 comments

  1. daah si mchezo African Touch, wabunifu wetu mpo,haya binti afrika mambo hayo twasubiri tuone hapa Tanzania na sisi.

    ReplyDelete
  2. asante mashughuli kwa vitu vizuri.

    ReplyDelete

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.