Sponsor

KIJACHO::REHEMA KITCHEN PARTY KIWALANI

12:12:00 PM

 Pishi liko jikoni haya ni mambo ya Kiwalani, dumbukia ndani uyaone..!!

 Usijiulize sana ni kitanda na duvet

 mapesa kibao mfichue mwali....!!
Nyuso


Mkao ule ule wa picha zaidi....!!!

You Might Also Like

2 comments

  1. DA Helen naomba kuuliza hii pesa ya kumfichua mwali inakuwa ya somo? mc? au ya mwali? maana nimeenda kitchen party mbali mbali mara anachukua somo. mara nyingine mc anagawana na mwali. mara nyingine anachukua mwali napenda kujua ukweli wa jambo hili.maana wengine tunapenda kumfichua mwali kwa pesa nyingi ila tunaogopa kutoa, kwakujua hazitoenda kwa mwali.

    ReplyDelete
  2. make up ni kitu muhimu kuzingatia kwa hawa maharusi wetu

    ReplyDelete

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.