JACQUELINE RWIZA - KITCHEN PARTY

 Venue        ::Nyantale Hall – Tabata Bima
Color          ::Brown, Cream & White
Designer     :: Binti Afrika
Make-up     ::Rehema Msasani
MC            ::Hidaya Njaidi
Caterer       ::Hilda Caterer-+255 712 459 850    
 Hapa binti Afrika kamtoa kiafrika kweli kweli..!!!
Bonyeza kitufe uone mambo ya mujini..!!!Kwa nyuma!!
 
   Hair do za ukwee'e


Uafrika uliusika zaidi..!!
Hairdo ya mpambe

MC - Hidaya Njaidi
Decor....!!!
Zawadi
Cake & Champaign 
 Kikapu chenye matunda au mbogamboga!!


Champaign 
 akigonga glass na mama Jacq
Mashostito's

Burudani..!!Happy Gal!!!

 Hapana chezea Princess!!
Jacq akiyarudi si mchezo!!

ZAWADI
 Mama ndio wa kwanza alipeleka Sanduku, kapu la mama nakitanda na dressing table!!
 Mama Koku!!


Kaa mwanangueehh
Edna akienda kabidi zawadi!!


 Edna akikabidhi sofas kwa dada yake!!
Sisterz Love, mimi nikiona hii huwa nasisimka!!
Akiwa na mashostito waliomsindikiza!!

CRDB Bank HQ & Mlimani City!!CRDB bank ilihusu sana kwani mfanyakazi ni wa huko huko, hili ni Tawa la K-nyama pale milleniun tower


 Marafiki wa bi harusi waliosoma wote Jangwani Secondary!

Wifi's wakipeleka zawadi


Hilda Clatterer, hii ni mara ya kwanza kuona, mpishi aliyewapikia akitoa zawadi nzuri na classic kwakweli, nilijaribu kuongea naye nikidhani kuwa anawafahamu au wamempa kazi mara nyingi akasema hapana yeye hufanya hivyo kila anapopata kazi! na bei zake ziko poa mtumieni jamani!! 

 Wanakamati wakienda kabidhi zawadi zao!!


 umeona eeh!! kitchen Party zinasaidia, kuna mgumu mmoja aelewi kabisa!!
Edna akitunzwa na shostito Princess Latifah!! 

  
mabest
 Mama akitunza na wanaye!!
Mama Mary Rwiza
 Wakimvisha mama yao kipenzi cheni ya dhahabu!! raha eeh!!!
 Kisha wao na mashostito, wakamtunza vitenge wax na khanga!
 Raha ya dunia ni watoto!!!
Msosi
 

Nyuso's

 Mama na Mwana
 
 

 RED CARPETSWAGA

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

8 comments:

 1. Mlipendeza sana na Bi harusi Mungu akutangulie kwenye ndoa yako na akupe uvumilivu

  ReplyDelete
 2. harusi nzuri na watu wamependeza

  ReplyDelete
 3. Hivi jamani bongo hambadiliki tabia ya kupeleka mafanicha kwenye hall ni ushamba sana umemtunza mwanao kwani lazima kila mtu ajue badilikeni jamani

  ReplyDelete
 4. wonderfull make up,mwaaaaaaaaaaaaaaa

  ReplyDelete
 5. picha nzuri ila nyingi hazifunguki

  ReplyDelete
 6. Mdau hapo juu unayesema picha hazifunguki sio kweli landa internet ya providr wako iko slow, mimi hapa ni vodacom zimefunguka zote na kwa nusu dakika, internet iko hivi mwenye kisu kikali ndi mla nyama!! pole

  ReplyDelete
 7. ni kweli picha nyingi hazifunguki.....

  ReplyDelete