Sponsor

JACK BRIDAL SHOWER @ MLIMANI CITY

12:15:00 PM

 Jack pendeza eeh!! je wajua  ni nani aliyemvisha Jack?? na wakikuvisha siku ya shughuli yako wanakuletea zawadi, wa mujini wajua Jack anatarajia kuolewa na nani?? bonyeza kitufe nikujuze!!

 Beautiful Jack!! 
 keki ya Jack, haisomeki....!!!!
Keki ya Jack toka Unique Pearl Collection kama zawadi yao, wao wanajali wateja!!
 Mlatie & Jack
 Hellen mdogo wake Jack akimkaribisha kwenye taasisi ya ndoa
 mila pia zilihusu hata kama ni bridal shower
 Mlatie akimuuingizaJack ukumbini akiwa kambeba maneno kwishinei

Sabah akiwakilisha kivazi toka Unique Pearl Collection

Wadau picha haziko clear haya yote ni udakuz somuni!!

You Might Also Like

1 comments

  1. ilikuwa regency hotel not mlimani city

    ReplyDelete

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.