Sponsor

DUKA JIPYA JIJIN DAR - NEW S. FASHION

11:38:00 AM

Ni yule yule Sharrifa Fashion wa Kinondoni karibu kabisa na American Chips, sasa anakujia na duka jipya kabisa la New S. Fashion, wadau hili duka limefunguliwa leo hii, tarehe 05/11/2012 na mzigo ndio huu toka Turkey!!
Mawasiliano:: +255 713 442 022
Duka la New S. Fashion linapatikana Kinondoni karibu na American Chips, au duka la Tausi zamani!! wapigie simu, bei zao ni poooa huwezi amini!Stretchable max skirt & black & white dot blouse!!! Hi-Low Blouse


  Evening Dress 

   

 Viatuz vya S. Fashion...!!


 

 Stretchable lace dress
 


 Vile viskert vya kuparty!!
Accessories 
You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.