Sponsor

DAVID AND FAITH WEDDING

9:04:00 AM

Pendeza eeh!! embu ona make-up ilivyotulia...!!!Picha toka SHEREHEYETU BLOG dumbukia  humo kuona zaidi usilalamike picha chache!!


You Might Also Like

5 comments

 1. pendeza sana, hii sasa ndo makeup inayotakiwa sio kama niliyoizungumzia kwenye post ya kiwalani. ni mtazamo tu masela msijenge chuki

  ReplyDelete
 2. nice couple kwa kweli dada umejipatia handsome boy wako Hongereni sana

  ReplyDelete
 3. hujengi chuki umenena ukweli make up ipo standard,bw harusi ni handsome haswa

  ReplyDelete
 4. wote watamu daaaaah

  ReplyDelete
 5. Ee mola wetu nakuomba uibariki na kuilinda ndoa hii mpaka kifo kitakapo watenganisha. Hongereni wapendwa mmependeza sanaaaaa.

  ReplyDelete

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.