Sponsor

BACK TO NAIJA WEDDINGS!!!

10:12:00 AM

 Hivi ni kwa nini arusi za hawa watu zinakuwa nzuri sana ni upigaji picha au?? lakini jibu ni moja tu wenzetu wanawatumia wedding Planners sie hapa vikao lazima vitimie 20 ndio shughuli ikamilike, kila mtu anatoa wazo arusi hii tufanye kama ile ya mtoto wa fulani matokeo yake arusi zote zinafanana!! champignie, zawadi kukata keki n.k., mambo ni yale yale kila siku, usisite ingia ndani kuona picha zaidi najua kama wewe ni mtarajiwa utaondoka na moja...!!!


Mamam huyoooo!!
 Hapana chezea swaga za wana kwaya!!!

Perfume yako lazima iwe best of the besto!

 
Decor.....!!!

You Might Also Like

1 comments

  1. hapana chezeyaaa naija sijawahi kufikiria colour ya kaki kwenye harusi ila imetokelezeaje sasa???/nzuri sana

    ReplyDelete

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.