UDAKUZ SIMUNI-KITCHEN PARTY AUNT EZEKIEL (RAHMA)

Yaonekane ilikuwa bomba ile mbaya!!
 Aunt & Lulu Kiluvyia
 Rehama Kiluvia & Lwiza Mbutu mama wa Twanga!!
 Lulu Kiluvyia make-up iko bomba by HK's Saloon
Lulu Kiluvia (nguo ya Lulu kiluvia designer ni Halima Kamusi - mpigie simu0715-555525) & Aunt
 Fetty & Aunt vivazi vya kistar!!
Wamependezare!!

 Halima Kimwana, Rucky & Aunty


Udakuz!!!

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

15 comments:

 1. kapendeza sana aunty, pia huyu dada ni mzuri sana, nakushauri utulie sasa katika ndoa

  ReplyDelete
 2. Umependeza sanaa aunty mungu akujaalia na akuongoze katika ndoa yako mashaallah ww ni mzuri sanaa

  ReplyDelete
 3. MashaallAh! Bi rahma amependeza! I like her

  ReplyDelete
 4. Kupendezaje! I like her

  ReplyDelete
 5. natural beauty. don't u ever mess up ur face na mikorogo sijui obagi

  ReplyDelete
 6. i can see mnajitahidi kudesgn good try

  ReplyDelete
 7. harusi nzuri lkn make up bado kabisa

  ReplyDelete
 8. Very nice aunt(Rahma) alipendeza

  ReplyDelete
 9. nzuri mno. make up not good zimetkeza sana wa wadau, pia watu wengi naoona wamevaa uchiuchi

  ReplyDelete
 10. Mungu akutangulie katika maisha yako ya ndoa bi dada Ramhma

  ReplyDelete
 11. aunt ulipendeza sana good u're so beautiful ila hao waliovaa vichupi wamekuharibia

  ReplyDelete
 12. AUNT wewe ni mrembo yaani uko bomba ile mbaya black is beauty so cute mumy jamaa atajitanuaje sipati picha yaan mkiongozana kitaani

  ReplyDelete
 13. make up not good kabisa.. yani umekuwa kama kinyago. bora ungejipamba mwenyew mana we ni mrembo sana Aunt, hair dresser ulieenda siooo kabisa yani. badala ya kukuremba kakuharibu. yaniuzuri wako umepotea kabisa, tatizo lenu wasanii mnapenda misifa kwenda kwenye saloon za ghali lakini unaharibiwa. otherwise umependeza sana kwenye mavazi tu.. si sura!

  ReplyDelete
 14. Siyo kwamba hawakupendeza ila quality ya picha ni very poor ndo maana wameonekana wamenangwa.Chungulia 8020 fashuions utawaona vizuri.Wasn't that bad!!

  ReplyDelete
 15. Duh umechuzikiza balaaaaaaa,nimewahi kuwatch movie ulizo act kama bibi harusi unapendezaga sana but hii yako kwako ambayo ndio real umeharibu,hair dresser wako na aliyekufanyia make up hovyooooooooooooo,otherwise wewe ni mrembo sana

  ReplyDelete