UDAKUZ SIMUNI - KIBAO KATA CHA AUNT EZEKIEL (RAHMA)

Aunt Ezekiel(Rahma) ni Bongo actress na fans wake lukuki hapa Tanzania na nje ya nchi, wengi wao mnataka kujua mpangilio wa shughuli nzima ilkuwaje, je Aunt alipendezaje?? sasa sie twawapa udaku simuni japokuwa picha si nzuri lakini wadau afadhali kuliko kukosa kabisa!!

 Rehema & Aunt
 Rehema Kiluvia

Aunt alipendezaje?? sijui leo itakuwaje mashallah!!
 Halima Kimwana, Lulu & Rehema!! mtokelezea!!
 Kiluvia La'familia

 Wema & Aunt

Sameera & Halima
 Ummy Sweet Sekibo & Sameera
Mpasuo wa haja!!

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

3 comments:

  1. Shughuli ya aunt au ya wapambe?

    ReplyDelete
  2. mh!! kwn ilikuwaje kujiziba huo mdude au ndo urembo?? duh!! maurembo mengine jama!!!

    ReplyDelete