REST IN PEACE HALIMA MNONDWA

Hapa tulikuwa naye kwenye send off ya mdogo wake Azza Mnondwa!!! Mbele yake Mauti nyuma yetu Inallilah Wahina Illah Rajoun!

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

3 comments:

 1. Poleni familia ya Mnondwa Nasser, Nassoro,Nafisa, Azza, Baba na Mama..wakina Nyafu, Pendo na Neema.. Ndugu jamaa na marafiki..
  Mungu ametoa, Mungu amechukua.

  ReplyDelete
 2. Poleni sana Familia ya Mnondwa, ndugu, jamaa na marafiki. Mwenyezi Mungu aiweke roho ya Halima mahala pema peponi, Amina.

  ReplyDelete
 3. Namuomba mwenyezi mungu, mungu wa rehema airehemu roho ya rafiki na kipenzi chetu Halima jamani, nakumbuka tabora chuo cha uhazili. Na kwenye kipindi kigumu cha jeshi makutupora halima jamani, tulilala anga moja tulifanya kazi kitengo kimoja cha ujenzi wa nyumba na halima. nakukumbuka mambo mengi sana jamani hata sijui niseme nini! Nimeshitushwa sana na kifo cha Halima. Yaani mungu anasiri kumbwa sana jamani mbili kabla ya kifo chake tulikutana kwenye kona ya mataa ya akiba, tena yeye ndiye alikuwa wa kwanza kuniona hatukuzungumza kitu tulibaki tunacheka sana huku tunapungiana mikono bye bye kumbe ndo tulikuwa tunaagana. Nimesikitika sana. Yote ni mapenzi ya mungu. Mbele yake nyuma yetu sisi. Mungu ailaze roho ya marehemu pema peponi.Ameen. Frida Makuhana

  ReplyDelete