WEDDING RECEPTION YA HUSSEIN & SAUDA


Bride               ::Sauda
Groom             :: Hussein
Venue              ::Magomeni nyumbani
Decoration        :: Yahaya - +255 713 215 615
Catterer            :: Yahaya - +255 713 215 615


Alianza Salma Mntambo kuwakaribisha waalikwa, Salma ni dada wa Mwanaidi mama wa bwana harusi Hussin
Mariam Mntambo akisoma dua!! kufungua shughuli

Maarusi wakiingia!! Hussein & Sauda wakivalishana pete
Hussein alichukua pete iliyofichwa kwenye ua! 
 Keki
  Tunza
Mama mzazi wa bwana harusi Mwanaidi Posi akiwa tayari kutunzwa na dada yake Salma Mntambo Injini ya jiji!!! 
Salma Mntambo alikuja na mahela!! 
 Kisha akamkabidhi mdogo wake Joha Simba

Joha Simba akitamba!! 


 Shika na hizi!!!

kama mama kama mtoto, Rehema mtoto wa Salma Mntambo akimtunza Mwanaidi
Chakula

Nyuso's
Hapana chezea Injini ya jiji


Mtu na mkwewe...lol, mnakumbuka ile reception ya kismat, diamond bi harusi huyu amepndezaje??
Ndoa kweli hapana chezea nimemiss Aisha sijamuona tokea kabla ya Ramadhani!! umependezaje mdogo wangu mume anakutunza!! naona huko na mke mwenza umuogopi?? injini ya jiji??

Khadija & Zuhura
Rehema Natural unatishaje?? no make up, no lace wig mwanamke kujiamini
Dalila, Hadija & Rehema
Salama Katungunya & friend, pole shostito hayuko!!
Ester kiboko yake mtu!! & mama naaa!!
Mariam Mntambo, Aisha & Mariam K"
Hasina & friend, mke wa Awadh hata wafanyaje?? miaka 100 ndio kwanza bwana Awadhi malavidavi kibao!!
Nyota, Salama, Joha & friend!
Picha Mbalimbali

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

7 comments:

 1. Husein na Sauda many congratulation mbarikiwe sana ndoa yenu iwe na furaha na amani, bi Sauda umependeza manshaalaaaa model wa ukwee bwana Husein anakuangalia jicho hilo hakumalizi mmependeza sana wapendwa wangu happy couple all the best

  ReplyDelete
 2. harusi ni nzuri lkn make up make up duuh,

  ReplyDelete
 3. wamefanana bwana na bi harusi, kama mapacha, mashaallah. hongera zao ndoa yenu idumu. amin

  ReplyDelete
 4. Mash'allah! napenda sana harusi za nyumbani, imependeza sana lol! fagilia mama yetu salma! yani chakula kinaonekana kilikuwa kitamu sana!!

  ReplyDelete
 5. Nimependa maharusi wenyewe umri wa kula raha.
  Lakini jamani hiyo mijikanda ya sidiria hamfundwi kuifutika ndani ya nguo?

  ReplyDelete
 6. Wow hongera sana hongereni sana Mr. & Mrs. Timoteo! am soooooo happy for U japo nimekosa mnuso wa bongo, mm nawasubiria huku huku mkirudi. ! jamani was very big Surprise huku Dubai. Da, Hellen umetisha thx kwa kutuweka karimu na home. Mm ni mdau wako yule yule Mamaa wa Dubai (Rukia).

  ReplyDelete
 7. Hengera shosty wangu, Bi, Jack am so happy for u! Nakusubirije? Dubai mamyy. Ur now Mrs. Timoteo. Umependeza sana nandio mmezidi kufanana. jamani nimemissije mnuso?. Mamaa wa Dubai.

  ReplyDelete