PICHA SIMUNI, AQDI YA AUNTY EZEKIEL LEO HII

 Sheikh akimuonyesha sehemu ya kusaini bi harusi, 
 akianguka 100% kwa 100% bila wasiwasi wala shaka!!

Mrs. Demonte!!
huu ndio udaku na udakuzi!!

Thanks Pics to Ally More (mwanangu) hapana chezea jina kubwaaaaaaaaaaaaaaa!!


Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

7 comments:

 1. Si unaona hata nguo za kijani zinapendeza na inaonyesha hekima na pia ...

  ReplyDelete
 2. Helen mie niliolewa zamani, hivi vyeti vya Ndoa vimebadilishwa maana hicho sikielewi.

  ReplyDelete
 3. Da hellen umetisha

  ReplyDelete
 4. vyeti vimebadilika mamito. heee shekhe nimemfananisha nini, kama anko med vile wa kinondoni.

  ReplyDelete
 5. cheti cha ndoa kiko hivyo, mimi niliolewa mwaka 2006 tukapewa kama hicho. mwenzenu aunt hicho cha halali kabisa msianze jamani kwani huna ndugu, jamaa au rafiki aliyeolewa miaka ya karibuni. cha msingi mumpe hongera zake tu, mengineyo tumuombee kwa mungu.
  aunt utulie mwaya.

  ReplyDelete
 6. jamani mimi niliolewa mwaka 2006 na nikapewa cheti kama hicho. cha msingi mumpe hongera zake na mengineyo tumuombee kwa mwenyezi mungu.unayesema cheti hukielewi kwani dada huna ndugu, jamaa au jirani wa karibu aliyeolewa hivi karibuni akakuonesha jamani. tumpe hongera tu jamani wapenzi.
  aunt mwaya utulie.

  ReplyDelete
 7. HAPO NDO KARAHA .WALIOLEWA WALOWAKUTA WAZAZI WETU NA WAKAACHIKA MWENZENUKAOLEWA MWAULIZANA CHETI SIMUMPE HONGERA NA MUMWOMBEE MEMA

  ReplyDelete