Nya & Abdul Fusion Wedding - Naija

 
Nguo ya bi harusi pamoja na za wapambe zikiwa tayari, sio kila mtu anavaa kivyake halafu mnakutana, mnavaa pamoja na make-up pamoja!! Swaga za Abdul, nilizipendaje!!!
last minute sms!!
 umechelewa lol

 Label ya suti lazima isomeke!!

 Wapambe!!

 Kuna kitu nimeona kwa harusi za kwetu hapa TZ, ni kuwa wapambe wanakuwa wanawari au visichana vidogo vidogo why?? Deco ndani ya kanisa!!
 Naona khanga zetu zilihusu, na kutandikwa chini sijui ndio bi harusi apite au??
 eeh! bi harusi alipita juu ya khanga 
 Hii ni harusi latest sana!! umeona swaga za hi-low dress!!
Malaika wakimwaga maua je twaweza jifunza eeh!!
 Wakivishana pete!!
 Wanachanganya nini sijui nimeshaona mara nyingi itakuwa Divai eeh!!  tu mwili mmoja!!
apa mbele ya macho yangu!!

Picha mbalimbali za maarusi na wapambe!!
nyie watarajiwa chukua style hapa sio lazima uelekezwe na nyie pia mwaweza elekeza!!
 
Wenye simu zao BB
 Kabla ya kuingia ukumbini walipita  kwa cocktail drink kwanza!
Drinks!!
Decor..!!Cake!
 Meza ya cake, haijapambwa iko clear, hapa kwetu wapika cake wengi wanapamba meza ya cake maua yanakuwa mengi mpaka cake aionekani!
 Mambo kama haya yanapatikana Silmans Investments, mambo ya nakshi nakshi unataka guest book yako iweje na picha zenu au colour of the wedding!! wapigie simu, 
+255 22 2120828
+255 715 665 989/754 665 989
Email::silmalinvestment@yahoo.com


 Ngoma za kiutamaduni zilihusu!! kutunzwa kama kawa!!(Mchezo pesa)

 naona viu vya kwetu jamani inakuwaje??
 uende sokoni kikapu hicho nahisi!! mila za kiafrika ziko sawa!!

Dansi watu walichezaaa picha zinakueleezaNimechekaje namuona kamalaika nacho kanadaka .... yasije yakawa yale ya mtoto wa shosti wangu baada ya kusimamia harusi akalia sana na yeye anataka kuolewa!!

Jamani ilikuwa nzuri sana picha tu unaenjoy!!

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

5 comments:

  1. nimependa sana picha tu nimenjoy sasa cjui ukumbini ilikuwaje?mpk viatu viliwekwa kando nice wedding

    ReplyDelete
  2. veru nice wedding.

    ReplyDelete
  3. bora hawajapaka mikorogo manake za kibongo ni kibokoo

    ReplyDelete