MAULID & LUNCH YA AQDI - ALLY HAMAD BAUDA & HADIJA HASSAN

Tulianza kumfichua bi Khadija
 Bi harusi ya Hadija Hadija, pendeza eeh!!! nguo ya Hadija imeshonwa na Designer mkongwe Joha Simba, haijakodishwa kwa Twaiba kama wengi wenu mlivyokuwa mkisema, mdau kama umependa hii wasiliana na Joha - +255 715 612 954


mkia muhimu!!


Bwana Harusi akija mpa mkono mkewe Ally na Mkewe Hadija wakiitikia duh!! Mashallah!!
Ally na Hadija wakitoa shukurani
Maulid
Upande wa wanaume ndio walisoma maulid

Wanafunzi wa chuo!!

watu wamesimama Qiyam

CHAKULA


ZAWADI
Hajary na Hawa ndio wazazi wa Ally, wakipeleka zawadi yao!!

Hawa akiwakumbatia maarusi kwa furaha!!

Familia ya Kihago na Mkindi wakipeleka Sanduku kwa bi Harusi kama zawadi yao!!
Dada Mwanakombo akikabidhi sanduku la Hadija

Hawa alimtunza dada ya kitenge, perfume na kumfuta jasho, Hawa heshima pesa shikamoo makelele tupa kule laki mbili udugu hazina yenu!!
Hajary alilia kwa furaha!!
Wana familia wakimtunza Hajary
Nyuso
Sophy, hellen & Khadija

 Hajary & Brigit-Radhia, shostito wa ukwee'e
Hajary, Sophia & Hadija


Maichu, Mwanakombo & Muhaza

Asha & Hawa
Rukia Abebe & Nadhifa!!

Beuty & Baby
Husna & Khadija Mtemvu
Bi Hadia & Mama Halili
Hajary na Shangazi Bishara

Halima AllyJoha Simba & Hekal Araga
Zamzam Sadik, Aisha & Hawa
Aunty Hellen & Hawa dogo langu la ukwee'e
Salha Senga, Hawa & mama Amina Maruma
Sophy, Hellen & Halima
A-Town people!!


Hajary & Hawa na maarusiMaarusi wakiwa na mdogo wa Khadija

Bi Hadia & Shangazi Bishara na maarusi

Sie hao na dada Joha Simba
Red Carpet


Swaga

MC wa shughuli ndiye mie hapa!! hapana chezea!!

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

19 comments:

 1. wamependeza,nyuso pia podari zimependeza sio zile za kama cement zimesilibwa,wote nguo za stara,kila la kheri wanandoa

  ReplyDelete
 2. Mashallah!Mwenyezi Mungu awalindie ndoa yao na awajaalia baraka za watoto wema.

  ReplyDelete
 3. MA'ASHA'ALLAH BI HARUSI ALIPENDEZA MNOMNO!
  KUMBE BI HELEN NI MC,,,I WISH NAMI NIKWITE KATIKA SHUGHULI ZETU SIKU MOJA,MAANA NAKUADMIRE MNO DADA YANGU,MOLA AKUZIDISHIE,,
  SASA PAPARAZZI ALIKUWA NANI HIYO SIKU?AU OFFISI YETU IMEPANUKA SIKU HIZI
  AHLAM...LONDON

  ReplyDelete
 4. Maashaallah, mlipendeza sana.(Zainab Mkindi)

  ReplyDelete
 5. Mashallah,mashallah,Masha Allah...wamependeza..Allah awape kila la kheri katika ndoa yao na awalinde na kila hasidi wa ndoa yao...

  ReplyDelete
 6. Wooooh! Mashallah! Watu wamependeza sanaa, nyuso zinavutia make up ya stara! Hongereni maharusi. Na pongezi kwa Hajary. Umekuza mamii. Shughuli ilikuwa nzuri sana. Sanaaaa! Na sare nzuriii sanaaa! Asante kwa mc wetu Hellen. Am happy jamani. Gittah

  ReplyDelete
 7. Lovely. Wamependeza sanaa kwa kweli. Wamerebwa vizuri. Hongereni saNaa. Sare nzuri sana na watu wote wa ukweli jamani. Hongera pia zimuendee mama mlezi Hajary! Umeoza mamii. Looking good.

  ReplyDelete
 8. mashallahhhhhhhhhhh wote wamependeza,na make up zimewatulia haswaaaaaaaaaaa

  ReplyDelete
 9. mashallaaaaaaahhhh hajra mmependeza sana,,,kila kitu kimetulia sana,,,,hope dada halima huko alipo amefurah ,,r.i.p amen

  ReplyDelete
 10. Mashughuli ya ukwe'e yani mambo yako ng'ari ng'ari!!!! simple but very beutiful!!!!

  ReplyDelete
 11. wamependeza sana lkn bi harusi akifika kwa mumewe kazi ya kwanza ikawe kumnyoa ndevu

  ReplyDelete
 12. Dada Hellen umependeza sana usoni, naomba kujua siri ya urembo.

  ReplyDelete
 13. mashaallah mungu awalinde na awazidishie shughuli nzuri sana inaonekana ilikua tulivu watu wamevaa kistaarabu hakuna make up msiribo tangu bi harusi mpaka waalikwa wote, Mc wa shughuli ulinoga.

  ReplyDelete
 14. Mkisikia watu wa high class - ndio wa A-town sasaaaa. Da Hekal(Marina) uko top of the range na Nadhifa. Congrats maharusi.

  ReplyDelete
 15. Hongera sana sana kwa walezi wa bwana harusi Ally,mpaka kufikia hatua ya kuoa,Hajar n Hawa big up 4 ur guy's,...(Marehemu sis Halima she is so proud of u ladies)
  Mungu awabariki ndoa yenu Ally na Hadija.

  KIhago oyeeeee na Mkindi oyeeeeee

  ReplyDelete
 16. Dah! nilikuwa sijui kama nawewe ni mc, hongera sana. nakukubali si mchezo. its me JAMILA A.

  ReplyDelete
 17. mashaallahh haruci imependeza na ni ya stara hivi ndio inavyotakiwa haruc wa kiisalam avae lkn sio haruci zetu za kile za kimjii..mashaalahh na hongera muandalizi wa hii shughuli

  ReplyDelete
 18. mashallah mashallah harusi nzuri sana watu wamependeza sana, inshallah Allah awajaalie kila la kheri katika maisha yao ya ndoa. watu wote wamependeza ma madira yao rangi zote nzuri hongereni sana

  ReplyDelete