HIVI NDIVYO NILIVYOKARIBISHWA KATIKA FAMILIA YA KIHAGO

Da Sherry akiongea na kutufafanulia hiki chakula cha jioni ni maalum kwa ajili ya nani nilikuwa sijui! na kunikaribsha kama mmoja wa familia ya Kihago! 

Kwani ninalo la kuongea basi!! zaidi ya asante mingi mingi tu!
Kulikuwa na zawadi!!
 Huyu ni Bi harusi wa juzi juzi tu akinipa zawadi!
mdogo wangu Hajary na yeye akanipa upande wa khanga!
 Da Mwana alifunga kazi, kwani ile clutch niliyokuwa naitaka ndio kanipa! duh siamini asanteni sana!!
 Umeona eeh!!


 Hamida naye aliongea kidogo baada ya kutoonana kwa muda mrefu sana, ilikuwa raha leo sote tuko pamoja!!

Hii ndio Dinner Yangu
 Ndizi utumbo, da sherry si 
ulijuaje ninavyopenda!!
 Mzuzu

Picha Mbalimbali za Familia
Mama na Mwana
 Da Joha naye alikuwepo Big Sister lazima!!
Photographer wangu!!!
 Mariam umemuona our daughter!!


Watu wanapenda picha eeh!!
Sophy & Hamida
Halima & Hamida
Hajary & Hamida
Asha & Joha
Hellen & Mama beauty
Bishara & BeautyMama na mwana
Mama na Mwana
Muhaza & Mjukuu
 Hellen-Nguo hii imedesign na Halima Kamusi, I Love it, kitamba chochote kila kinadariziwa nenda kamuone!! simu +255715 555 525

 Familia tukiwa pamoja!!
Kazi ya Sabrina, nzuri eeh!!

Tulikumiss sana Mariam, mzungu wangu!!

JAMANI SINA MANENO YA ZIADA ZAIDI YA ASANTEENI NIMEFARUHI SANA, UPENDO MLIONIONYSHA NI KITU KIKUBWA SANA KWANGU!! TUMUOMBE MWENYEZI ATUJAALIE TUZIDI KUPENDA!!!

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

4 comments:

 1. Hongera sana my bff hellen hapana chezeiya family ya kihango imetisharrr gauni limekupendeza sana naona mahanjumat ya hatari mwenyezimungu akujalie.napia uzidi kubarikiwa zaidi me loveeeee mingiiii sana tu

  ReplyDelete
 2. hongera sana my sis! ukiona unapendwa basi ujue unajua kupenda! mwenyezi mungu akuzidishie moyo huo wa upendo! nina zawadi yako my dea sis inshaallah nitakupatia! jamani hizo ndizi mshare za kwetu nahisi zilikua tamu sana jamani!

  ReplyDelete
 3. pendeza shost happy people. mungu akutangulie kwa kazi nzuri asiyejua kushukuru si muungwana

  ReplyDelete
 4. wow! mi naomba recipe ya hiyo ndizi utumbo,pz.

  ReplyDelete