HALIMA MPAKANJIA - KITCHEN PARTY

Venue      :: Zonghua Garden
Colour     :: Blue, Yellow, Purple & White
Designer  :: Halima Kamusi - +255 715 555 525
Make-up  ::HK's Saloon - Halima Kamusi
MC         ::Kide
 MC Kide, kama kawa kazi yake haina makosa!!

pendeza eeh!! nguo imemkaa, mbunifu wa nguo hii Halima Kamusi, uko Juuu shosti kaza buti, hata mie kivazi changu kile nimenipendeza saaana!!
 Halima Akiingia ukumbini
 mabinti hawa walikuwa na vyetezo udi kama kawa!!
Allingizwa na Ahmed Mgeni, Sitetereki!! rusha roho Halima
  Zawadi
Decor
Cake
Keki ya Halima ilikuwa mfano wa handbag
akimlisha bibi yake, nilimpenda sana huyu bibi mkarimu na msomi!!
akawalisha mama zake wote
Akimlisha wifi peke!!
Jamila mdogo wake Halima yeye alimlisha dada yake!!
sisters love!!
Hellen a.k.a wajina!!
Champaign 
Hellen a.k.a wajina akiwasave wageni
Faiza Mafish uko juuuuu!!
Halima cheers na mama yake
Sakina umeona eeh!! shostito wake Gea!!
Risala ilitoka kwa mabibi tu!!
Rusha Roho
uzuri wa Halima yeye alirusha roho kama kawa, siku yako lazima mtu ufurahi
kwaito ilihusu
Jamlia akirusha roho!! alitambaje??
Kukabidhi Zawadi
Mama na marafiki wakikabidhi zawadi
Shangazi akikabidhi zawadi yake baada ya kumfuta jasho kwanza
mashostito wakimtunza!!
Baada ya kukabidhi kabati la vyomba alimfuta jasho
Sharrifa Mntambo wa Kimara akimtunza Halima, huyu si wa upanda eeh!!
tatizo nini unyayo mwekundu huu hapa!!
wifi peke wa Halima akitunza sufuria bibi wee kampikie Masoud
Jamila akifungua tayari kabisa kwa sasambu ambayo aliifanya mwenyewe!!
jamani alitamba kupita kiasi, hata picha tulipata tabu sana kuzipiga
vitu vya ukwee'e
Masandauku yalikuwa mawili moja la nguo lingine la viatu na handbag
kisha akamtunza mahela!!
zile nguo nilizokupa hazikai sandukuni weka humu kabati milango sita!! hapana chezea Jamila unatisha!!
sasa anaingia jamila mkubwa
Taulo za ukwee'e
Jamila yeye alitunza sanduku lakini lake ni la mashuka, mapazia, duvet etc
Dalila na wanae wakienda tunza, TV showcase

Halima akipokea zawadi za somo, kwa heshima zote
na yeye akamtunza somo
Halima akimnyari mke mwenza ah! ah!
Jamila akitunzwa na mashostito
Halima alitoa zawadi kwa mama zake wote!! wax
Jamila akitoa zawadi ya khanga kwa bibis
Chakula
Nyuso
 Faiza Mafish!!
 Aunty Shukuru & Friend
Gea na shostito Sakina hapa abadiliki mtu nyie tu lol
chuma cha kaka!!natural napendaje!
Princess Latifa & friend!!

Hellen
Red Carpet
Swaga
Kinzuri chajiuza, kibaya chajitembeza!!

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

16 comments:

 1. nimefurahi sana aunt hellen kuona hii sherehe maana nliwahi kuondoka yani halima alipendeza sana na sherehe ilikuwa simple na nzuri inshaallah mungu atamuongozea ndoa yake.
  sharifa mtambo wa kimara.

  ReplyDelete
 2. Hongera almah ulipendeza sana, shughuli nzuri, m/mungu akujaalie ktk maisha ya ndoa.....! mdg wa bi harusi ninemuelewa Heshima pesa shikamoo makelele, hapana chezea Tripple jamila's

  ReplyDelete
 3. Waoh Halima ulipendeza sana jamila mkubwa na adodo nimewakubali insha allah mungu awape zaid mzidi kufaana, halima hongera sna mrs MASOUD

  ReplyDelete
 4. chezea double jammy utkufa hapana chezeaaaaaaaaaaaa!!!!thnx aunt hellen
  Mdau Latipher chambusoooooo

  ReplyDelete
 5. Dah no comments,respect aunt hellen. ukweli tulifunika thanks all,may god bless u.
  pamoja sana. MDAU JAMILA MKUBWA

  ReplyDelete
 6. Dah! nimependa sana zawadi ya jamila mkubwa hiyo ni perfume set au.............??????

  ReplyDelete
 7. chezea mamaa WANANI wewe na mtajibeba mwaka huu............PENDEZA WEWEEEEEEE.HAKUNA MPINZANI

  ReplyDelete
 8. NYIE PAKENI VYA KUPAKA WANA PAKAPAKA NYIE WEEEE FAINALI UZEENI LOL

  ReplyDelete
 9. halima amependeza sana hongera kwa jamila wote wawili mungu azidi kuwapa na kuwapa ila halima kwanini amewalisha watu keki kwa mkono wa kushoto aunty helen hukuwepo ukamshtua mana najua we msomi

  ReplyDelete
 10. Anyoumous wa mwisho, halima anatumia left hand datz why ilikuwa ngumu, kukumbuka right hand

  ReplyDelete
 11. Designer nimependa ulivyodizaini kuanzia kifuani hadi magotini ila chini ya magoti cjaipendaa..Ni hayo tu..bi haruc ndoa njema

  ReplyDelete
  Replies
  1. Nakuunga mkono, chini kama malapulapu fulani hivi

   Delete
 12. Mahanjumati yamenivutiaa..mmh sambusa .pale kuku chapati eeh..chezea watoto wa kariakoo na mambo ya upishi

  ReplyDelete
 13. Sherehe nzuri, ila watu makeup ilikuwa too much. Yaani nyuso hazieleweki. Hongera halima umependeza

  ReplyDelete
 14. Hongera mwaya Halima.....

  ReplyDelete
 15. I really appreciate them for their wedding my God bless them

  ReplyDelete