BROOKLYN BOUTIQUE!!

Nawatambulisha BROOKLYN BOUTIQUE wauzaji wa nguo toka Marekani, wanapatikana Mbezi Beach   karibu na kanisa la K.K.T, barabara mpya ya kwenda Mbezi, nguo zao bei ni poa kabisa vaa originally kwa bei ya kawaida, usidanganyike!!
Mawasiliano:+255 719 680 730
Wadau namba imerekebishwa samahani kwa usumbufu uliotokea

Evening Dress!!
 BlouseSuit
Mini Skirt100% linen Trouser kwa wanawake


Skin Jeans kwa ajili ya 
mabonge zinapatikana!Viatuz!
  
Kisigino kifupi kwa wa wasiojiweza na 6 inch shoes!
 Watch!!
 ata saa mfanowe 
Michael Kors Watch kwa bei poa!!


Your all Welcome

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

8 comments:

 1. iko wapi hiyo boutique?

  ReplyDelete
 2. hiyo number ya hiyo boutique mbona wanasema imekosewa tunapiga tunaambiwa si hy sehemu mama shughuli tupatie number ya ukweli

  ReplyDelete
 3. naomba number ya hawa watu mlioweka sio

  ReplyDelete
 4. liko wapi ilo duka?

  ReplyDelete
 5. Wapendwa Samahani namba yetu sahihi ni hii 0719 680 730. Samahani kwa usumbufu kwa mlioopiga namba ya mwanzo. Duka lipo Mbezi Beach Tangi Bovu karibu na Mbezi Lutheran Church, njia panda ya Kawe, Opposite na Bills Lodge. Huwezi kupotea. Karibuni sana na piga hii namba kwa maelekezo zaidi. Asanteni, Brooklyn.

  ReplyDelete
 6. jamani ustaarab mnatakiwa mumuombe huyu dada aliyekuwa anasumbuliwa sana na kwanza no yake mmekosea vp mbona hazifanani? hata kidogo?

  ReplyDelete
 7. jamani ustaarab mnatakiwa mumuombe huyu dada aliyekuwa anasumbuliwa sana na kwanza no yake mmekosea vp mbona hazifanani? hata kidogo?

  ReplyDelete
 8. WEKA BEI TUJUE HAYO MAMBO YA KUPIGA SIMU YAMEPITWA NA WAKATI.

  ReplyDelete