ZAIBUNISA ASLAM SINGO - MAGOMENI

Zaibunisa baada ya kuingia ukumbini
Mwali yu tayari kufichuliwa..!!

 Mama alianza kumfichua mwanaye kwa dollarindugu jamaa na marafiki walimfichua Zaibunisa

Mwali wetu akitonyesha mafunzo ya somo!!Zawadi, Kifuta Jasho & Kutunzana
Alianza mama kumtunza mwanaye set ya 2 mbili za dhahabu kama ninavyosema hapana chezea mama Sanju yuko juu!!
Laylat akimsindikiza mama yake!!
mama na mwana
MADINI MADINI!!
mama Sanju na bintiz!! kumbe bado tutacheza

Tanisa akimtunza shostito Laylat


na wapambe wa ukwee'e
Somo akienda toa sanduku la mwali wake
 
mie nilimpenda sana somo, mataratibu ana mashamushamu


somo alikabidhi sanduku kwa mama mzazi wa Zaibunisa

somo na mwali
Zawadi ya Tant Boy umeona eeh!!

  

alisindikizwa na wapambe wake sare inogire!!
 

kesha mpa sofa, just like that!!! 


mama Sanju akimtunza somo mahela

somo akikkoshwa na dollar  Masanduku ya kina dada.. hayoo sasambu sasambu!!

chezea Fatuma Gesani - hapana chezea kiuno bila mfupa!!

sanduku la ukweee!!!umeona eeh nguo za ukwee'esanduku la pili

baada ya sasambu. laylat na ndugu zake walimtoa bangili 2 nzito MADINI

Zaibunisa akivishwa bangili na dadaz, chezea wao!!

mama akimfuta jasho Laylat 
Laylat alifutwa jasho na mashostitos!!


kila mtu ana zake huyu kamvisha taji la pesa!!

Tanga line hiyooooo!

Zuwena na Nuru wakimtunza Laylat!!!

mama alifutwa jasho na mwanaye!!!

Chakula
NyusoRed Carpet
Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

11 comments:

 1. SHUGHULI NZURI NAONA WAPAMBE WA UJINI WALIKUWEPO BIG UP TANTI BOY, HIYO SHUGHULI YAKO YA DEC NAONA UJENGE NYUMBA NYINGINE ILE HAITOSHI KWA MIZAWADI MAANA WALIPAJI TUPO WENGI, PIA NDG ZANGU PUNGUZENI PODARI WOTE NYIE WAZURI ILA MKIYAZIDISHA MWATISHA

  ReplyDelete
 2. SHUGHULI NZURI, WATU WAZURI ILKA MAKEUP ZIMEZIDI, HEBU WAAAMBIE WAPUNGUZE KIDOGO MAANA MPAKA ZINAONDOA UZURI WAO WA ASILI. MFANO KUNA DADA KAVAA MIWANI AMEPAKA MAKEUP KIDOGO NA AMETOKELEZEA MBAYA. MTU MPAKA UNATAMANI KUMUANGALIA. NI MTAZAMO TU DADA USIBANIE.

  ReplyDelete
 3. Nani kampaka Bi Harusi wetu WANJA? Tafadhali naomba kumjua. Aunt Zai.

  ReplyDelete
 4. MMMH na hata aliempamba bi harusi hakutaka hata kumpunguza malaika wa uso na nyusi loh na mapoda alivyomkandika mwana wa mwenzake sijui nani loh mashallah familia yake nimeipenda watt wazuri mashallah

  ReplyDelete
 5. Shughuli ilipendeza pia wahudhuriaji walipendeza sana ila mi nahasira na bibi harusi pamoja aliyemfanyia make up hivi hakuona huo uso wake ulivyojaa nywele kama kichwa kwanini hawakufanya either wax au hata thread jamani kweli kina dada na maake up artist plz tushauriane tafadhali.

  ReplyDelete
 6. hongereni shughuli imependeza ila huyo aliempamba bi harusi alichemka hizo nywele alitakiwa kuzitoa huko usoni na mwilini angetoka poa zaidi

  ReplyDelete
 7. Mmendeza sana naomba kumjua fundi wenu hasa wale wa magauni ya blue zenye mauwa makubwa na madogo.

  ReplyDelete
 8. shughuli inaonesha ilikuwa zuri lakini mbona ndugu wa mama harusi picha zao hazipo naona mashoga wengi

  ReplyDelete
 9. eleweni ki2 kimoja hiyo c harusi bali ni singo, na kimila zaidi m2 ambaye hajaolewa haia pendezi kutoa malaika hiyo ni singo c harusi

  ReplyDelete
 10. mashallah singo imeenda shule..na bi.harusi mtarajiwa kapendeza mashallah na kuhusu suala la hivo vinyweleo ni sababu hiyo ni singo anatakiwa awe natural halafu kwenye harusi ndo afanyiwe yote pamoja na hiyo WAXING..wacheni wivu na maneno mtoto mashallah!jicho la hasad limpite!msimtie zongo binti wawatu..

  ReplyDelete
 11. dada mashughuli naomba namba ya huyo bint me nimetokea kumpenda sana!zaibunisa mdada mrembo jamani nipo central london ila nitafunga safari nije tanzania kwa ajili yake..naomba unisaidie dada please

  ReplyDelete