WEDDING RECEPTION - MOHAMED & RUKIA

Groom        ::Mohamed Kismat
Bride           :: Rukia Mbarak
Venue          :: Diamond Jubilee VIP Hall
Entertainment:: Gusagusa Taarabu Min Ban & DJ…
Decoration   ::Farizana
Colour         :: Hot Pink & Green
Caterer         ::Babuji – Barberque Village-Msasani

 Maharusi wliongozwa na Range Rover!!
 Hili ndilo lililowabeba Limousine
 Wakiwa ndani ya gari 

Wakiingia ukumbini
 Waliongozwa na wapambe kwanza!!!


Wakaja malaika hawa!!
  Wakafuata Mr & Mrs Kismat, status lazima ibadilike!!
umeona mburuzo wa veli
 Baada ya maarusi kuingia ukumbini Dr alifungua shughuli kwa dua kubwa!! japokukuwa sielewi but nilihisi it was very nice dua yenye misisitizo kutokana sauti ya Dr. inavyokoroma!!


Shughuli nzima iliongozwa na MC Mery - yuko fit!!
Decor..!!! 
Cake
 Pete
Kuna ubunifu wa hali ya juu ulitumika hapa, pete za maharusi zililetwa na Marobiti, hii ambayo ilikuwa juu kabisa nakuanza kushuka taratibu nenda picha si unajua mie ndio mashughuli bwana!!!
Ngalawa ikishuka kuleta pete zao
umeona eeh imeshafika
Rukia akitoa pete zao tayari kwa kuvishana
Mohamed akimvisha mke wake kipenzi Rukia!!
let me kiss you baby

Ruki naye alifanya hivyo hivyo

Keki ilikuwa ni Basi, Mzee Kismat aliamua hivyo kwa sababu aliwazawadia Basi kwa ajili ya kufanya biashara ili waweendelee na maisha yao mapya ya ndoa!
Walikata keki na kulishana!
Mohamed alifungua champaign yao, yeye na mkewe!!


 
Wakinyweshana champaign 
Wazazi wa pande zote mbili walipita for cheers

Mr & Mrs Dr. Tamba walipita na kugonga glass kwa niaba ya watu wote
 Baada ya kumaliza wao maharusi, sasa tukaja upande waalikwa!
Kila meza ilikuwa na cake na champaign, MC Merry aliwataka wachague wana ndoa katika kila meza na kukata keki na sio watarajiwa!, ilkuwa nzuro sana huwezi amini kila meza zilipatikana couple, na hii ilitokana na meza zilikuwa na namba kwa hiyo walipangwa haswa!! 
Wazazi wa Rukia wakikata keki...!!

Saada na mume wake walikata keki na kulishana!!

Hapa pia ni mtu na mkewe
tunaendeleea
Mr & Mrs Kismati wakikata keki ya meza yao!
Dr. Tamba & Arafa wakilishana keki
Yahaya akikata keki......!!

Champaign  
zilifunguliwa kila meza kwa hiyo ukumbini kulikuwa na milipuko
Huyu kijana yeye aliamua kucheza kabisa


Chakula
Nikija hapa jamani nakosa la kusema lakini kwa wale walio wahi kwenda kula barbecuer village nadhani watakuwa wanajua taste ya chakula kila kitu kilikuwa kitamu!!, na chakula cha kujisavia mwenyewe!!
Salad
Samaki paka
Chinese Rice
Maini ya nazi
Beef Muton
Calamari Flower 
fish finger
Prawns 
Chicken
Beef Mishikaki 
Chips & Mkate wa ufuta
mazagazaga

Mohamed & Rukia wakipakuliwa chakula
Jamani ilikuwa self service au jihudumie mwenyewe si umeona eeh!! huyo ndio Babuji
 Burudani...!!
Baada ya kumaliza kupata msosi, maarusi wetu walifungua mziki, hii inakuwa mara chache sana kwenye shughuli kutokana na mambo ya kutanzani nk, hapa kulikuwa hakuna kabisa kama unavyoona ndivyo ilivyokuwa matunzano yalikuwa kwenye money party, hapa ilikuwa ni kula kunywa nakucheza, nimependa mipangilio hongera kwa kamati!!

Show..!!

 Bwana eeh! huyu mtoto sikujua jina lake! but napenda kumwambia "Diamond Platznum" dogo aliimba wimbo wako wa nimpende nani?? ah! ah1 huwezi amini video muhimu wadau soon itarudi!!
Mama akimsupport mtoto wake!! umeona eeh! mziki unalipa siku hizi sio zamani
Gusagusa helaaaaaaaaaaaaaaaa!!

Rahma akitunza!!
 
Mariam & Fatuma 
 NYUSO!
Watu walipendeza eeh!!

High Table 
Mr & Mrs Kismat


Mwanaidi & Mariam
Mariam & friend


Fatma, of Dalilah & Fatma's Sister
Nuru - pendeza eeh!!
Mariam & Aisha Massanga
Mama Salma Mntambo & Friend
Injini ya Jiji!! umemuona eeh! very simple!! hajapaka chochote usoni mwanamke kujiamini!!
Khadija & Mariam wifi zake my BFF
Cute!!

Kulia na nguo ya blue ni mdau wa mashughuli blog!!, nawapendaje


Joha Simba Designer
Bishara & Friends


Mzee, Bishara's husband

Mr. Kismat & Dk Tamba

 

Family Picture with Mohamed & RukiaRed CarpetI really love this gal, ni fashionista wa ukwee'eNuru & Warda


SWAGA's


Wanakamti wote walivaa vikuba kama utambulisho wao!


Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

22 comments:

 1. Mashallah... Mashughuli mpenzi upo juu hucheleweshi Nimependa... (Na mie nakupendajee) Mwaaaahx

  ReplyDelete
 2. Shughuli nzuri ilipendeza sana, kila kitu isipokuwa watu wengine natamani niwatazame kuanzia chini mwisho shingoni maana huko usoni naona kama vile yale masomo yote yaliyopita yalikuwa kazi bure, mikebe itakuwa imeisha kabisa. Otherwise ukiondoa kasoro hiyo kwa wachache shughuli ilipendeza.

  ReplyDelete
 3. Kwani Pete si wakati Ndoa inafingwa? Ni mashauzi AMA? Nguo nnyeupe ni aje na uislam? Mambo hayo. Ushamba mzigo. Lol

  ReplyDelete
  Replies
  1. ACHA KUJIUMBUA BIBI KIZEE ULIYEKOMAA SURA KWA WIVU NA MAISHA YA WATU,HAYAKUHUSU UKIWA NA SHUNGULI YAKO FANYA VILE WEWE UNAVYOPENDA,WAACHE WENYEWE NA SHUNGULI ZAO,SIO LAZIMA UCOMMENT KITU WAACHE WATU WALE ILE KITU ROHO INAPENDA MSONYOOOOOOOOOOOOO.

   Delete
  2. Inatia huruma kuona akili ilivyo ndogo, kukisoana ndio maendeleo, acha ushamba. Mashauzi yataka exposure ndio yakamilike, kuuliza si ujinga, sikumuona shekhe wala Ndoa ikifungwa kwani hicho si ndichi kiluchojumuisha umati? Ukijishaua tafuta wanaoyajua sio kufanya kila mtu mjinga. Lol

   Delete
  3. KAMA HUNA MACHO BASI KATAFUTE MIWANI,UMESHAAMBIWA HIYO NI SHEREHE AU RECEPTION YAO SASA UNATAKA KUMUONA SHEKH AKIFUNGISHA NDOA WEWE NI NANI KWAO? NA UMEKUJA JUU NA MANENO SIJUI USHAMBA NI MZIGO,SIJUI MASHAUZI,BIBI WEEE MSHAMBA NI WEWE UNAEKESHA NA KUTAKA KUJUA NA KUWAPANGIA WATU WAFANYEJE SHUNGULI ZAO,MAANA KAMA UNGEKUWA NA AKILI TIMAMU USINGEANDIKA UTUMBO HAPO JUU,SHUNGULI SIO YAKO NA HAIKUHUSU NA UMEKURUPUKA NA KUANDIKA UWENDAAZIMU WAKO,HUU SIO UWANJA WA MASHAUZI KILA MTU ANAKULA ILE KITU ROHO INAPENDA,WIVU TU UMEKUJAA KWANI KIMEKUUMA NINI WAO KUAMUA KUVISHANA PETE TENA UKUMBINI?ETI USHAMBA MZIGO LOOOH ACHA WIVU BIBI KIZEE,SHUNGULI ILIPENDEZA,WATU TULIKULA,TULICHEZA NA PIA TULIFURAHIA HIYO SYLE YA PETE ILIVYOSHUKA WATU WEEEEEEE,UTABAKIA HIVYO HIVYO NA WIVU WAKO.

   Delete
 4. shantalle tahiya daudSeptember 17, 2012 at 9:13 PM

  BBf umetisharrrr kazi nzuri sana hapana chezeiyaaaa mashughuli picha nzuri sana mwenyezi mungu akubariki kazi yako pamojaaaa sana tuuuu

  ReplyDelete
 5. Nataka nimueleze msemaji alosema 'nguo nyeupo ni aje uislamu'? Kwa taarifa yako, hii kwetu si siku ya ndoa, ndoa rasmi ilishafanyika na nguo rasmi ya ndoa kwa waislamu alishavaa; hapo ni kusanif tu, kama pesa ipo tunastarehesha nafsi, lakini kwetu si lazma na wala haina maana yoyote. Halikadhalika, na pete pia ni hivyo hivyo, katika jumla tu ya kusanif lakini hatuna lazma na haina maana yoyote kwa dini ya kiisilamu, kwani tayari ndoa ilishafungwa kwa sheria ya kiisilamu na mavazi ya kiisilamu. UPO ???????????????????? UELEWE TU DUNIA PANA, KUNA KUTAMANI TU HIVYO MAVAZI YA NGUO NYEUPE NA MAPETE HAYANA MAANA YOYOTE, NI KAMA FASHION TU, MTU ANA PESA ANATUMIA KWA RAHA ZAKE.........................

  ReplyDelete
  Replies
  1. NAAAAAAAAM UJUMBE UMEMFIKIA HUYO ANAYEJIFANYA MJUAJI WA KUKOSOA WATU,WATU WANAKULA MARAHA YAO YEYE KABAKIA ETI USHAMBA MZIGO,ETI MASHAUZI.

   Delete
  2. umemueleza ya kutosha anaelewa sana anasumbuka na laana,kuna binadamu wana roho nyeusi kama mkaa wa kisarawe wivu umewajaa sipati kusema. hongera maharusi manshalaaa mmependeza mwenyezi mungu awapishe mabaya ya dunia mbarikiwe nyinyi na familia zenu. da mashughuli naisubiri kanda ya video usipoweka kama ulivyosema patachimbika dadaangu wahalahi nasema

   Delete
 6. Shughuli nzuri, M.Mungu awajaalie kila la kheri na wadumu kwenye ndoa yao na mapenzi tele.
  Mama jr.

  ReplyDelete
 7. Asante BFF wang Tahiya with all the blessing from GOD na wewe pia ni mkono wangu pili kwa kweli you really support me Tahiya & Ghaife I love you tio the maximum!!!

  ReplyDelete
 8. Mungu akuzidishie mashughuli wallahi inatia raha sana kuona mtu anajitolea kufanya kazinzuri kama hii coz leo watu wote duniani ukiwambia mashughuli basi wanaona sherehe zetu tnx alot from baba mtoto aloimba.mungu akuzidishie.

  ReplyDelete
 9. mungu ailinde ndoa yao na awajalie watoto na kuwazidishia mazuri yote na kuwakinga na mabaya.from cash money.

  ReplyDelete
  Replies
  1. cashmoney wewe nakupenda kweli,,,hivyo wewe niuliye kua holland?

   Delete
 10. mashallah shughuli ilipendeza sana

  ReplyDelete
 11. shughuli ilipendeza sana ya bbq village (Mr Mandal ) nawapa big up sana kwani chakula chao kitamu mno walinipikia kwenye sendoff na mambo ya self service aminia bbq village hawachakachui hata kidogo ni mwendo wa fresh and hot food chakula kinapikwa hapo hapo hallin wadau mpo kama una harusi watafuteni hao

  ReplyDelete
 12. what a wedding wow fantastic mind blowing may Allah bless them amin

  ReplyDelete
 13. mnashushuanaje hahahaaaaaa....ilipendeza mambo ya fwedha hayo.

  ReplyDelete
  Replies
  1. walipendeza sanaaaaa,mungu awabariki na mpate vizazi vyema.

   Delete
 14. Pendeza mbayaaaaaaaaaaaaaaa bwana harusi handsomejeeeeeeeeeeeee kapanda kama baba yake hehehe hongerni sana bi harusi pendezaaaaaaaaaa vibayaaaaaaaaaaaaa napenda kuangalia tu hata sichoki.wenye wivu wajinyonge hadhani.

  ReplyDelete