UWT WAMPONGEZA NA KUMKARIBISHA NYUMBANI DR. ASHA ROSE MIGIRO

 Chipukizi wakimkabidhi Mama Salma Kikwete (our first Lady) na Dr. Asha Rose Migiro mashada ya maua
Mwenyekiti wa UWT Mkoa Wa Dsm Zarina Madabida Dr. Asha Rose Migiro Mwenyekiti Wa UWT Taifa Sophia Simba Katibu Mkuu UWT Taifa Amina Makidadi Naibu Katibu Mkuu UWT Taifa Salama Abudi


 Kila mtu alipenda kupeana mkono na Dr. Asha Rose Migiro!!

 Viwanja vya Mnazi mmoja vilishehena kina mama walioshilia bango zenye ujumbe mbalimbali wa kumpongeza Dr. Asha na kumkaribisha nyumbani
 Mwenyekiti wa UWT Taifa, Sophia Simba akisalimiana na mke wa Raisi mstaafu Mwinyi
Mama Maria Nyerere akisalimiana na katibu mkuu wa UWT Mh. Amina Makilagi 
 
 Dr. Asha-Rose Migiro akiwa amenyanyua Nishani aliyotunukiwa na Wama

Zawadi mbalimbali toka kwa wanawake!Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

No comments:

Post a Comment