Sponsor

SKIN SOLUTIONS BEAUTY TIP OF THE WEEK!!

3:09:00 AM

Kila siku ngozi zetu zinakutana na uchafu unaotokana na 
mchafuko wa hali ya hewa, upepo, jua, jasho na vipodozi. Ni jambo la muhimu sana kusafisha uso wako japo mara 1-2 kwa kila siku, kama uso wako ni ngozi kavu unatakiwa kuwa muangalifu na kutouosha sana kwa sababu ngozi ya mafuta inazalisha virutubisho 
vya mafuta kwa lengo la kuzuia.
Kuwa na uhakika wa kupata kiosheo au (cleanser) inayoendana na 
aina ya ngozi yako, kwa kawaida creamy cleanser italeta matokeo 
manzuri kwa ajili ya ngozi yako, kama uso wako ni wa mafuta 
unatakiwa kutumia cleanser ya kawaida italeleta matokeo manzuri
 kwa ngozi yako,
Mshauri wa ngozi wa Skin Solutions yu tayari kukushauri cleanser 
nzuri inayoendana na ngozi yako!!

Wapigie simu sasa upate jibu 

+255 767 780 014 au +255 783 036 666

You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.