OUR FIRST LADY MAMA SALMA KIKWETE AMEPENDEZA EEH!! - WAKE ZA MARAISI WA NCHI ZA KIAFRIKA WAKUTANA NEW YORK!

 Mama Salma Kikwete akibadilishana mawazo na   Bibi Katalin Bogyay Balozi wa  Hungary UNESCO na amebobea katika diplomasia ya utamaduni  na mtetezi mkubwa wa masuala yahusuyo  fursa sawa ya elimu kwa mtoto wa kike. 

 Mama Salma Kikwete akipokea vipeperushi katika mkutano huo
Mama Salma Kikwete akiwa na Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe Mwanaidi Sinare Maajar, Balozi wa Umoja wa Afrika katika Umoja wa Mataifa Mhe. Amina Salum Ali na Mshauri wa Rais  mambo ya Diplomasia Balozi Liberata Mulamula kabla ya kuhudhuria mkutano wa  African First Ladies Roundtable jijini New York, Marekani, leo 

PICTURE SOURCE MICHUZI-MATUKIO BLOG

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

No comments:

Post a Comment