MWANAISHA NZORY KITCHEN PARTY

BRIDE           ::MWANAISHA
VENUE          ::NYANTARE HALL - TABATA
COLOR          ::PURPLE, PINK & GOLD
MC                  ::
DESIGNER   :: Edna Fashion Point & Tailors - 0716189172\075688466 (mwambie umeona design zake Mashughuli Blog upate discount) 

Cake


Mwanaisha akimlisha bibi yake kwanza

Mwanaisha akimlisha wifi yake Vero

Cheers!!!
Zawadi


Bi harusi mtarajiwa Mwanaisha akiwa tayari kupokea zawadi zake!!
Mama mzazi wa Mwanaisha ndi alikuwa wa kwanza kumpa mwanaye zawadi!!

 Mwanaisha akipokea zawadi ya fridge toka kwa mama yake!!
Kapu la mama hiloooooooooo!! lajazwa!!
Sanduku la mama likisasambuliwa!!
Shangazi wa bi harusi Hindu akienda na Mwanaisha amkabidhi zawadi yake!!
shangazi Hindu akitamba na mwanaye!!
  
akikabidhi kabati la nguo la ukwee'e!!
Baada ya hapo shangazi hindu akipongezwa!!
Namuona my dada Halima kwa nyuma nakupendaje umependeza eeh!!

somo mshono pambe babu eeh!! maana hii maalumu kwa kutamba shurti mikono juu!!

Mwanaisha adabu na heshima kwa somo!!
umeona eeh!! meza ya chakula!!Wifi mtu Vero akienda toa zawadi na kampani ya ukwee'e wana mujini hapana chezea Vero!!
wakimbeba bi Harusi
Wifi la ukweee ulitambaje??
tamba shosti uwanja wako!!
akikabidhi kabati ya vyomba
mashostito nasiaki mlitisha ile mbaya na sare yenu ya kimjini mjini!!

Watu wakimwaga radhi
utawaweza??? maana shurti unyauke, kimya!!!Vero alitunzwa na mashosti wake!!

Shangazi hindu akimtunza mama wa bi harusi


Mara ya pili Vero unatoa zawadi sikuwezi!!

cheza na mike, wewe mwanamke mrembo Vero!!
naona sasa unakabidhi vyombo!


NYUSO

wifi portable eeh!
shosti Mwaka!!
my BOSS Shani unaita ile mbaya!! umependezaje

Vero wapambe squad ilikamilika
 Shamimu mashallah!! shavu dodo kama la kwanguMashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

3 comments:

  1. Mdada alipendeza sana, nimeipenda hiyo nguo jamani the way ilivyoshonwa.

    ReplyDelete
  2. Bibi harusi kwa kweli alipendeza sana, hongera zake. Mama Vero uko juu mama........

    ReplyDelete
  3. bibi hyarusi amependeza sana.make up imetulia kabisa.na tabasanu lake,anaonyesha ni mdada ambae hana maringo na tabu na mtu

    ReplyDelete