MONEY PARTY YA MOHAMED KISMAT

Event:: Money Party
Groom:: Mohamed Kismat
Venue::Police Officers Messy-Osterbay
Decor:: Yahaya
Caterer:: Talma Caterer

Mohamed akiingia ukumbini!!  

Wakwe wakiingia ukumbini

Wakwe wakiingia ukumbini na tashtiti zao za money! money!Madada na pia wanakamati wakipokea zawadi za wakwe!!
Mama mzazi akiingila ukumbini
Mama Tamba na Zaroo dada yake Rahma Kismat wakiimuingiza ukumbini!!
Subira Group wakitamba eeh!! mambo ya vikundi hayo!!
Rahma, mama wa bwana harusi mtarajiwa akiwakaribisha wageni wote!!!
Zawadi za wazazi, tulizoonea kwenye Projector eeh!!
Kulikuwa Live EntairnmentHapa Ahmed Mgeni ulichanganyikwaje na madollari!!
Tunza, Zawadi!!!

wakwe wakipeleka zawadi na mahela!!! pambe babu eeeh!!!
Masaafu! zawadi ya kwanza kwa Mohamed!

Mswala ya 2!
 
Kibaskeli na Madollari!

  Mama mzazi alipewa pesa za Ktz
  
Dada wa biharusi, Eshe akimpa bracelet Mohamed amvishe mama yake kama shukurani!!

Big hug from Son!! raha eeh!!
 Kamati
Wanakamti wakiongozwa na Fathiya, chezea Fathiya weye!! wakienda mtunza kaka yao Mohamed!!
Wacha weee walitambaje???
Warda wkimpongeza kaka yake!!!

Waalikwa wakienda toa mkono wa pongezi na bahasha ambazo zina mipesa, hii ni MONEY PARTY ni pesa tu zilihusu!!

Sharrifa Hashimu!!!


Saada
Subira Group wakimtunza mwanachama mwenzao Rahma, mkononi kila mmoja na laki si pesa millioni matumizi hapana chezea Subira Group!Kwanza walimfunga mkaja mama mzazi bi Rahma Kismati

Pili
Saada
Kibibi
Fatu
Rose

Muke ya Mkweche!! chezea!!
Mariam
Mama T, muke ya DR...!! hapana chezea mambo makubwa!!

Subira Group!! mko juuuuuuu!! kama muashok vile!!

Nunu, mwali wa Rahma Kismati akimtunza somo!!! heshima kwa somo!!
Kibibi alimtunza shosti wake Rahma Pound!!! hapana Dollari ye katoka kivyake vyake!! heshima pesa shikamoo makelele!!

Mama Tamba alimtunza shosti wake Rahma Supu upo hapo mbuzi ukumbini


Viungo vyote vya supu vilihusu!!!
akiwasave mama na baba!!!
sijasahau vitunguuu!!
Mbuzi huyu hapa wa supu, natumai nitaitwa siku ya supu au tayari!!!
akimtunza khanga na vitenge ushoga kazi jamani sio maneno matupu!!
sasa ni wakati wa mihela, chezea muke ya DK..!!


Bi Rukia aliwatunza watoto wake!!


Zaroo akimtunza mdogo wake!!
Mwali mtarajiwa kati Nuwaila akimtunza somo na wapambe!!!
Mwaga pesa mwari, mbembeleze somo eeh!!
Warda, Fathiya, Nuwaila,Rahma & Bi Zaroo
Mariam Twahiri mama ya biashara, mtafutaji akienda tunza kwa mbwembwe zote hapana chezea!!
fungua wallet mwaga million moja!!


Saada na shariffa wakitunza!! chezea wanawake watafutaji!!!
mbuzi wa pili huyooo supu ya kutosha

Saada akimwaga pesa!!
Mzee Kismati akitunzwa pia

Caterer 


 

Zawadi kwa kwa waalikwa!

Kila aliiyeingia mlangoni alipata zawadi ya make-up set  ndogo ya Miss Rose!! jamani zawadi nzuri sana!!
 Decor...!!!
Nyuso
Red Carpet
Swaga

Nilipododosa kumbe vitu vya Muscat!!!

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

21 comments:

 1. mbuzi kafungwa kibwebwe ... hahahahahahah

  ReplyDelete
 2. Ukweli sijaielewa hii party please naomba kueleweshwa, ila watu wote mmependeza sana naona tu mijidolla, mijipound, mijieuro za kwetu ndo kabisa shurti pesa kuning'inia hongereni sana

  ReplyDelete
  Replies
  1. instead ya kumfanyia mohamed bag party mama yake alitaka kitu tofauti na ndio ikaja hii ya money party,

   Delete
 3. kweli mwenye pesa hupewa pesa!! shughuli nzuri. Nimefurahishwa na mavazi ya staha

  ReplyDelete
 4. SIJAPENDA WANACHEZEA PESA HII SI SAWA KISHERIA PESA NI MALI YA WATU WOOTE KWA KUWA INAZUNGUKA

  ReplyDelete
  Replies
  1. siku hii zilizungukia Police Officer's mess kwa kutunzwa bi rahma kismat

   Delete
 5. NISAIDIE SHEREHE INA MAANA GANI?
  SEND OFF, KITCHEN PARTY, BAG PARTY NISASIDIE TAFADHALI SIJAELEWA

  ReplyDelete
 6. Inamaana mtarajiwa somo yake ni mama mkwe wake ama nini? sijaelewa hapo huyo mwali anatunza

  ReplyDelete
  Replies
  1. huyo ni mwari wa baadae wa bi rahma.

   Delete
 7. Jamani, hivi hii kitu ya kumtunza mama wa bibi/bwana harusi imetoka wapi? Manake unakuta anatunzwa kuliko hata muhusika mwenyewe? Hivi baadaye hizo zawadi huwa anampa muhusika ama inakuwaje? Just wondering? HATE THIS ACT?

  ReplyDelete
  Replies
  1. sio mbaya kwani mama ndio ana play big role katika kuandaa shughuli au sherehe ya bint au bin wake.so tunajua mama akitunzwa mwishowe vitarudi kwa mtarajiwa.
   mama jr

   Delete
 8. mi nataka kujua kuhusu madira wameshona wapi yale madira yenye viua ua around shingo, niambieni wadau na mi nataka kushona

  ReplyDelete
 9. pendeza nyieee!!! chezea madolary?/

  ReplyDelete
 10. Jamani kwanini tunakuwa sio wahelewa mama anatunzwa kama hongera kwa kulea na kufikia kuozesha sasa cha ajabu ni kitu gani?? mpaka watu wanashangaa wengine wanasema pesa ni ya watu wote inatakiwa kuzunguka kwa hiyo hata kama umelala ndani hufanyi kitu pesa ikuzungukie??? kutunzana pia ni njia mojawapo wa kupigana tafu katika shughuli usione bi Rahma kapewa leo na yeye ni mtoaji ndio maana wanamrudishia!! wanaouliza mnoey party ndio nini hata wewe unaweza anzisha ya kwako ukairta water party mkamwagiana majo pa basi!!

  ReplyDelete
 11. Heheheeeee!!!! Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni. Mambo mapya kila siku, hizo Party sasa zimetengenezwa za kila aina. Jamani hizo pesa watu wanatolea wapi? Mbona sie wengine ni mihangaiko tu hatupati za kumwaga hivyo? Tuelezeni wenzetu!!

  ReplyDelete
 12. Mie nashangaa sana wabongo kwa kujifanya hawajui mambo ya kutunzana. Au kwa sababu hii haijafanywa na watoto wa mujini ndio mnajifanya hii ni nini hii ni nini? Ilitolewa harusi ya mutoto wa mujini hapa na keki ya machungwa yenye maganda yake (big flob, matunda ya kuweka kwenye keki ni yale yenye kuweza kuliwa na hiyo keki) lakini mlisifia ajabu wangeweka wa uswahilini mngecheka. Na huyo huyo bi harusi kwenye kitchen party yake alimtunza mama yake mipesa na kumvalisha gold kama mnaija mkasifia sana leo mnashangaa hii kwa kuwa sio ya watoto wa mujini. Kuna msichana mwingine wa mujini alifanyiwa baby shower akatunzwa pesa tu hakupewa kitu lakini hiyo hamkushangaa mkasema pesa ni za wote wanachezea pesa. Nafikiri ni wivu tu unawasumbua kwanza huyo kijana mzurije mashallah!!

  ReplyDelete
 13. sidhani kama wameponda ila wanajaribu kushangaa na kuuliza kwani hawajawahi ona hiyomoney party,na najua muda si mrefu watu wataiga ni style ya pekee na ni nzuri kuliko kununuliwa vitu saa nyingine huana matumizi navyo,ila hiyo midollar utapanga nini cha kufanya cha maana.kitu na hiyo idea ilikuwa nzuri sana mimi binafsi nimeipenda.

  ReplyDelete
 14. nataka kuja kuhusu hayo gauni ya with orange flowers with the orange coat. Lovely, waneshona wapi

  ReplyDelete
 15. tunzaaaaaaaa lkn je nyumbani umeacha mlo?

  ReplyDelete
 16. Kuacha na kutoacha mlo, si juu yako! shughulika na unachokiona tu. upo hapo.

  ReplyDelete