Sponsor

MAULID YA BABY MEILY KARIAKOO!!!

4:50:00 PM

 Baby Meily
 Shida mama mzazi wa Baby Meily, akiwa kambeba mwanaye katika Maulid, nyuma namuona shemeji yetu Mzee Sultan!!
 Namuona Asia kwa mbali!!
Hongera mama Meily (Shida)
Baba mzazi wa baby Meily akiwa na ndugu na marafiki

You Might Also Like

2 comments

  1. Mtoto kichanga na saa mkonini!! Lol

    ReplyDelete
  2. sio saa ile inaitwa mvuje inaonekana wewe si mbongo? unashangaa mvuje

    ReplyDelete

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.