Sponsor

CONGRATULATION MAMOU & SABRINA

6:37:00 AM

 Sabrina & Mamou, Sabrina ni mtoto wa dada mpenzi ambaye alinifundisha kazi katika ofisi ya kwanza kabisa mimi kufanya kazi, si unajua ile fresh from school, but Sabrina mama yako ni mtu mwema sana!!
 Cake ya Sabrina!
Sabrina kulia akiwa na wazazi wake na familia marafiki ya Ankal katikati mwenye nguo ua kitenge ni Dada Rozina ambaye nimefanya naye kazi! hongera dada kwa kukuza!!
Picha zaidi ingia MICHUZI-MATUKIO BLOG

You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.