BACK TO NAIJA WEDDING

 White Wedding
Aqdi
Traditional Wedding


Picture thanks bellanaija


Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

9 comments:

 1. Kapendeza sana bibie nataka kujua tu wanaija nawao washajua hina????????????

  ReplyDelete
 2. wewe mchangiaji wa hapo juu wa wapiunatokea wewe hujui kuwa hina ni suna kwa waislamu, na Nigeria waislamu ni wengi sana? huoni kuwa hiyo harusi ni ya kiislamu? Kama hujui basi huoni? Halafu Hellen kakusaidia sana kaonesha hapo juu "AKDI" au hujui pia hiyo AKDI ni kitu gani. Basi kwa faida ya kwako na wote ambao hawajui maana ya neno AKDI ni ndoa MPENZI wangu.

  ReplyDelete
 3. Traditional wedding Bi harusi kapendeza sana (Pink and Gold) safi.

  ReplyDelete
 4. Jamani hiyo sio Hina ni 'WANJA' na maana ya kumtia wanja bi harusi si Mapambo pekee bali pia wanja unatoa HUSDA au JICHO BAYA. kWA HIYO kwa wasiofahamu maana ya kutia wanja ma bi harusi ni kumtolea HUSDA au jicho baya bi harusi!!!!!

  ReplyDelete
 5. Mashallah harusi nzuri,ni kweli nigeria waislam ni wengi,kila la heri

  ReplyDelete
 6. ameuliza kwa vile hajui usimjibu kwa jazba

  ReplyDelete
 7. yaani jicho baya kwa bi harusi linatolewa kwa wanja tu ! naonaga na watoto nao wanapakwa wanja,

  mie sipaki mwanangu wanja wala nini atajipaka mwenyewe akikua kama anaona zinamfaa, macho ya watu hayatamtoboa kwani sina imani kuwa watu wanamtafuta, ukishaanza kuona ngoja niweke hiki ili kisitokee kile ndio inakuwa sasa

  muhimu piga maombi kwa Mungu wako na umuache akatende kama inavyompendeza, wanja upake kama urembo tu na si vinginevyo....sikulazimishi uamini niaminivyo....

  ReplyDelete
 8. napita tu but harusi ni nzuri

  ReplyDelete
 9. tradition naija imependeza sana

  ReplyDelete