AMINA DESIGN @ RUSSELL SIMMONS LAUNCH SPRING COLLECTION 2013 IN NEW YORK CITY!!

#
 Amina Plummer & Kimora Lee Simmons, (former Model & Businesswoman) hapa umefunika wewe ni namba 1 kwangu!!, quote from Amina "It was a life experience to dance, drink and have a conservations with Kimora and her husband"
Amina ni businesswoman mwenye mafaniko makubwa ni Mtanzania analitangaza jina la nchi yetu!! go girl!!
 Amina Pummer & Russel Simmons
 Kevin & Amina Plummer
Actor Boris K (from Soul Food) and Amina Plummer
Amina Plummer akiwa na Rosemary, Belinda from Ghana (International Model)
Amina "heshima pesa shikamoo makelele" you rock!!

Picture thanks AMINA DESIGN BLOG
A

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

4 comments:

 1. Ninachokupendea aunty hellen unaongea kweli, mimi businesswoman but napenda mafanikio ya amina lazima tuwe na wivu wa maendeleo sio maneno ya mjini

  ReplyDelete
 2. Nilifikiri ndie mtz wa kwanza kukutana na Russel Simon, kumbe nilikosea kusoma, maana nilisikiaga Flavy nae kashakutana kula na kudance na kina Simon. Pamoja na hayo hongera Amina kwa mafanikio uliyonayo, juhudi zako zimekufikisha hapo uliko, na wengine mjifunze no matter where you came from, ni juhudi na maarifa ndio zitakuletea mafanikio.

  ReplyDelete
  Replies
  1. Jamani Amina yupo juu katika wanawake tunatakiwa kumsifu. Ila Aunt Helen kusema Amina ni amnalitangaza jina la nchi ni analysis finyu saana.Anatangazaje jina la nchi hapo.Could you please clarify on that!!! mmmh

   Delete
 3. Hello, i think that i saw you visited my blog thus i came to return the want?
  .I'm trying to find things to improve my site!I suppose its adequate to make use of a few of your concepts!!

  my website Costa Mesa masseuse

  ReplyDelete