Sponsor

AISHA BIRTHDAY BASH @ KINONDONI STEREO

11:35:00 AM

Aisha


 Aisha akimlisha wifiye Sheilla
 Aisha akimlisha mdogo wake Hadia

 Ashley akifungua champaign 


 Zawadi toka kwa Ashley


Kidawa akimtunza Aisha mahela, hapana chezea somo ukoo juu
NYUSO
 Kidawa na mashostito

 Wamependeza eeh!!Chezea Ashley!! uko juuuu!!
Red Carpet


Hadia-Very Intelligent Beauty with purpose!!

Gwanto
Me & my wiiii!!!
Ghiafe - BFFMashostito-Gwanto & NadiaSheilla & Aisha
Ashley & Ife
Mashostito a.k.a Twin
BFF
Swaga
You Might Also Like

10 comments

 1. Mashallah tahiya daud umetokoleza wewe ni normaaa nakupenda sana wewe mdada unajipati haswa mimi kisura chako kinaita sana tu umefunika

  ReplyDelete
 2. Pendezaa wote sio too much makorokoro very simple but nice.

  ReplyDelete
 3. kuna mdada huko juu kababuka uso, nikajua defao! lolest! kazi ipo wallah, make-ups bado sanaaaaaaaaaaa! acheni kujikoroga jamani, mnakuwa ka ma-zimwi watu, khaaaaa!

  ReplyDelete
 4. aisha kwandam yupo wapi?

  ReplyDelete
 5. Ghaife ndani ya bongo tena?keep it up dada nakuaminia.

  ReplyDelete
 6. kuna dada kafuta ubao wa chaki kwa uso

  ReplyDelete
  Replies
  1. MMMMH Jamani wadada ni warembo lakini wengine hizo make-up mnabidi muingie you tube mjifunze jinsi ya kupaka make -up ni bora usipake kuliko uonekane kama unaenda kucheza ngoma au maaigizo ya kutisha.

   Delete
 7. WABONGO MASHAALWAH MKOROGO.MAKEUP NA SIJUI WENG WAO WAJAWAZITO AU NDO ZA BIA KAMA ZIPO

  ReplyDelete
 8. DADA YANGU MASHUGHULI MKO MWAH ILA CHANGE SMIL YAKO UNAKUA KAA UNAMBEZA MTU UMEBETUA MDOMO .

  ReplyDelete
 9. DADA YANGU MASHUGHULI MKO MWAH ILA CHANGE SMIL YAKO UNAKUA KAA UNAMBEZA MTU UMEBETUA MDOMO .

  ReplyDelete

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.