WINFRIDA BASUKA - KITCHEN PARTY

Venue:: Danken House Hall
Cake :: Rukia
Entertainment:: DJ & Linah
Decoration:: Lotus
Colour::Blue, Pink & Gold
Designer:: Anney
Make-up:: Glam Box
Winfrida akiingia ukumbini Aliingia na kuduarika moja kwa moja!!
 Mawifi wakimpokea kwa furaha!!
watu wote wakiduarika pamoja na Winfrida, pambio!!
Champaign 
 

 
Decor...!!!
 
  Cake
  Cake ya Winnie!!

 akimpa mama yake mzazi, kipande cha keki!!!
 Bibi...!!
 mama mkubwa, Regina Lowassa
matron na rafiki yake mpenzi
Risala ya mama
Winnie akisoma risala ya kumshukuru mama!! jamani ilipendeza sana!!
 
Ulikuwa muda mgumu sana kwa wate ukumbini!!!
 
 Zawadi ya mama
Mama na mwana!!!

MC Nuraat naye akimpa maneno matatu!!
Linah!!


 Mashostito wakicheza


Winfrida naye akitumia sauti yake!!!
Chakula

 
 
 Zawadi 

 Nyuso!
 
Nilikutana na dada yangu wa siku nyingi sana Super
Red carpet


 
Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

11 comments:

 1. Dada Helen Mashughuli hongera sana kwa kutuletea vitu ambavyo tunajifunza, japo kwa wengine hawaoni kama ni somo, kwakweli hii shuhuli ni nzuri watu walipendeza kwa muonekano tu, nimependa bi Harusi na Matron wake walipendeza sana mungu amjalie mwanzo mwema.

  ReplyDelete
 2. Mungu akujalie ifike siku ya arusi uolewe na ukaishi vizuri na mumeo, umependeza mno na shughuli yote ilikua nzuri mno na ni shughuli ilokua zaidi kwenye ustaarabu; kwani imetulia, imefana kwa hali zote, hongereni nyote....

  ReplyDelete
 3. kwakweli shughuli ilipendeza mno. kila picha inavutia na watu wameonekana wachangamfu sana. hongera sana mama mashughuli.

  ReplyDelete
 4. yani bi harusi ni mcute sana anasmile poa yani just everything is on point congrats dadaa

  ReplyDelete
 5. AMEPENDEZA SANA SANA WATU PIA WAMEPENDEZA MUNGU AMJALIE WAKAISHI SALAMA NA MUWEWE MUNGU AWAJALIE WATOTO WAKIKE NA WAKIUME

  ReplyDelete
 6. BIBI HARUSI ALIPENDEZA SANA AMEFANANA NA MATRONI WAKE HADI LAA. SHUGHULI NZIMA ILIPENDEZA WATU WOTE WALIONEKANA WASTARABU, HONGERA DADA NAKUTAKIA MAISHA MEMA KWENYE NDOA YAKO

  ReplyDelete
 7. make-up zao nzuri sio zakishambenga na wamevaa simple but very nice shughuli haina mbwembwe na ndio maana wamependeza lakini wale shoga zangu wanaouza sura kila siku bloguni wajifunze make-up zinapakwaje zilizoenda shule sio zakutishia watoto wetu

  ReplyDelete
 8. Congrats bibi harusi mtarajiwa.
  The make up was on point hadi raha.
  The part was superb (from pics)
  The dress, kwangu, was moderate ingawa rangi zilikaa vizuri mno.

  Bibi harusi alipendeza though kuna kitu I guess kingeweza kuongezea yeye kupendeza kama kingefanywa kwa usahihi. Fundi aliyemshonea nguo hakumfanyia fair (person opinion) kiasi as anaonekana mfupi mno in some pics due to the big puff lace at the bottom.

  With her shape She just needed a tail not a puff lace going nowhere.

  Nimecomment kwa faida ya wengine ambao watakuwa na sherehe waangalie nini cha kufanya.

  ReplyDelete
 9. Biharusi .males.ya.nguo.kwalitiii .mbya .ill.inapendeza.wengine .wasiige .hiya.nguo.

  ReplyDelete
 10. Me kdg nipo against na the former waliocomment the choice ya puff at the back going nowhere was jst so excellent and she lkd gorgeous kuhusu quality ya nguo naomba ukasomw needlework and shape ya bibi harusi ni bomba sana na imeonekana gud sio lzm nguo zenye mkia kila siku na abt kuonekana mfupi nadhan ni picha thats all

  ReplyDelete