WANA MEMOWATA WAJIPA RAHA!!!

Hii ilikuwa Eid pili, pale Tabata, wana kikundi hawa waliamua kujipa raha!! chezea vikundi vya kina mama!!
Msosi wa ukwee'e
Wana kikundi


Kwaito nayo ilihusu babu raha jipewe mwenyewe!!
Khadija a.k.a mother house alitunzwa!!
watu walitambaje!!
Chezea shani wewe!! unene si hoja babu!!
Watu kwa raha zao!!
Stella akifanya vituz!!!
si unajua mbwembwe za kutunza!
Shani hauwezekani kabisa!!
mie namuita Teacher!! na yeye akitunza
Khadija  akiwachekelia mihela
chezea wewe shurti kwa dolali!!
Sameer Birhday yake ilikuwa Mwezi Mtukufu wa Ramadhaan so wazazi wake walipeleka cake shule, lakini mashosti au wana MEWAWO wakasema nasi shuti tumpe zawadi Sameer, basi na yeye aliketi kwenye kiti!!
Baby Sameer bwana but mwanaume mwanaume tu hajazoea, hapo ingekuwa Teta akifuraije!!
Hellena akimpa zawadi Sameer
mama subiri na mimi nimkiss!!
mum & dad wakimpa zawadi mwanao!! dollar Sameer hiyo aunty hellen atakuwekea lol
mmh! kumbe pesa waijua mwanangu!!
 hug & kisses from them, wazazi hili twalijua eeh!!
chezea wao wakatunza
my Teta yeye alikuwa busy na kipochi chake !!
watotoz
mother house, akitushukuru kwa kuja!!
mama na baba hao!!
Mdogo wangu akanimbia dada uondoki mpaka nikutunze  khanga! asante sana!!
Na Stella naye akatunzwa!!
Mimi najua sana unapenda watoto mdogo wangu!! Teta & Hellen
Red Carpet
Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

9 comments:

 1. Ahsanteeee kwa kweli ilinogaaa,thnx 4 coming..Mashughuli upo juuuuuuuuuuuuuu

  Its me Hossana

  ReplyDelete
 2. HAhahahahha imekaa vizuri....

  ReplyDelete
 3. ooops,palinogaje?

  ReplyDelete
 4. mimependeza jamani

  ReplyDelete
 5. hahahahahaha, Mamaa Hanifa Mati huko nyuma mdogo wangu, kumbe mambo wayaweza eeeh!!! unene unahusu??? Shughuli ilinoga jamani, mpaka natamani kurudi nyumbani

  ReplyDelete
 6. Rahajee jamani mbarikiwe sana kwa kupendana

  ReplyDelete
 7. Waaaohh..........shughuli ni watu na watu ndo kama nyieeeeeeee mlinogaaaaaaaaa, Stella mwana na B2A yako ya Jumpsuit umenogaaaaaaaaaaaa, Lady Hanifa Mati weeeeee mauno hayoooooo hadi rahaaaaaaa, By Pamela Precious.

  ReplyDelete
 8. haha jamani mimi Stela umekuwa bongeeee jamani from loleza. hongereni akinamama kwa kuwa organized

  ReplyDelete