SINGO YA HABIBA !!!

Event:: Singo
Bride:: Habiba
Somo:: Kidawa
Venue:: Stereo Hall Kinondoni
Decor+Mito:: Catherine 
Caterer:: Talma Caterer
Decor...!!!
Burudani..!!Baikoko
Vinywaji..!!!
Mwali akiingizwaa ukumbini!!!

Kila somo huwa anakuwa na staili yake ya kuingia ukumbini lakini hii ya Kidawa kali kuliko waliingia huku wakisogoasogoa
somo mkuu Tant Boy "super star" akiangalia kama mwali wake kaweza kuwa na yeye somo???, haiwezekani wewe somo ukuawa na wana wali kama mia hivi lazima mafunzo yako yako juu mimi nakuaminia Tant!! uko juuuuuu!! sio huna hata mwali unajitapa ooh!! mie somo wapiiii?? chezea wenye  mji!!!
Tant aliwapokea!
Shurti mwali afichuliwe!!!
Baada ya mwali kufichuliwa somo Kidawa alikwenda kwa magoti hadi kwa somo ya mkuu Tant Boy kumkabidhi mapesa!! si najua mwali heshima kwa somo ....!!!
Mwali akicheza
Somo Kidawa uko fit ni noooooma!!!!
Cheza cheza!!!
 
 
Mmoja wa werawera group!!!, mambo yalikuwa yanatisha!!
Somo akipeleka zawadi ya mwali!!

  
Tunza
 Wenye zao walimwambia Kidawa hata shosti lazima tukufute jasho mambo umeyaza!!!

 

 Tant na kampani yake baada ya kutunza, umemuona my wii mama halima!! chezea yeye!!
Chakula

Nyuso's  Red Carpet
Aisha Mtengeti mkuregenzi wa "Yaliyomo Yamo Boutique"  unatisha shosti uko juuuu!!! waambie New Arrival Coming Soon!!!! mdundo ule ule "HATA MBUYU ULIANZA KAMA MCHICHA"!!!


Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

14 comments:

 1. utafkiri tuko congo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

  ReplyDelete
 2. sasa mbona somo hakuvaa shanga jamani alimfunda vipi mwari bila viendo

  ReplyDelete
 3. MAMBO WADAU WENZANGU NAOMBA MNIELEWESHE NINI MAANA YA SINGO, MAANA NAONA IMEFANANA NA KITCHEN PARTY.

  ReplyDelete
 4. kama ni shule... bora kuwa mjinga.....................

  ReplyDelete
 5. Ma Husein(Salma) na Mwajei mpo juu full heshima.

  ReplyDelete
 6. NAOMBA NO YA SIMU YA HUYU SOMO,KANIKUNA SANA

  ReplyDelete
 7. Jamani hii ni ada zile haswa zimefanywa chumbani ni hakuna hata picha!

  ReplyDelete
 8. Somo Kidawa umejituma kweeli hongera zako Habiba mdogo wangu ukatulie kwa mumeo usimwangushe somoyako kajituma kisawasawa tena isiwe kazi ya bure kila la kheri

  ReplyDelete
 9. mashughuli utuwekee viclip vya video tupate raha kamili dadaangu

  ReplyDelete
 10. Tuanomba number ya somoooo

  ReplyDelete
 11. kidawa umekuwa mama,uko juu km dege la jeshi nakuaminia

  ReplyDelete
 12. Uwiiiii somo jmn umenikuna sana....nahitaji mafunzo niiokoe ndoa yangu plssss
  tunaomba no ya simu ya dada hapo.

  ReplyDelete
 13. Hizo hela anazopewa tantboy zinaenaenda wapi au ndo ujanja ujanja

  ReplyDelete
 14. Kidawa nimekukubaliiiiii by pili aogwa

  ReplyDelete