Sponsor

SILMAL INVESTMENTS NEW ARRIVAL!!!

6:46:00 AM

Mzigo mpya umeingia Silmal Investments, kipindi hiki cha mwezi mtukufu wa ramadhaan, wengi wao pia wako katika mikakati ya sherehe baada ya mfungo wa ramadhaani, na mimi nachukua nafasi hii kuwaletea kadi mpya kwa aijili ya kitchen party, send-off, reception, wedding dinner or lunch, Kadi za aina za shughuli aina zote zinapatikana, fika kwao watakupa ushauri zaidi...!!!
Usipoteze muda wako kuhangaika kutafuta kadi, chagua hapa hapa wapigie simu watakupa taarifa zaidi, jali ubora wa kadi sio kadi ni kadi tu..!!!

Wanapatikana:;Nkurumah Str Plot No.: 158/430
Karibu na clock tower round about au karibu TOTAL head office
Mawasiliano::
+255 22 2120828
+255 715 665 989/754 665 989
Email::silmalinvestment@yahoo.com
Angalia kazi za Silman Investments


UAMUZI NI WAKO KUIFANYA KADI HII IWE YA KITCHEN PARTY, SENDOFF PARTY, RECEPTION AU SHUGHULI YOYTE ILE!!!
 RANGI AINA ZOTE
 SILMAL INVESTMENTS PIA WANDESIGN MENU ZA KWENYE SHEREHE, RATIBA YA SHEREHE & TABLE RESERVED
NEW ARRIVAL FOR JANUARY TO JUNE 2013....!!!
 Swaga za kipepeo zinavyoonekana, upande pili inaonekana ikiwa ndani ya bahasha!! ambacho ni kabox chenye nakshi
umeona hizi eeh!You Might Also Like

16 comments

 1. za ukwe'e kwa kweli dah hadi raha big up Bongo

  ReplyDelete
 2. mmetishaaaarrr silmal

  ReplyDelete
 3. Hongereni card nzuri sana tatizo bei.

  ReplyDelete
 4. Mashaallah very beautiful n attractive

  ReplyDelete
 5. Mashaallah very beautiful n attractive

  ReplyDelete
 6. kama alivyosema mdau hapo kati, kadi nzuri tatizo ni bei zao kwa bajeti zetu ni ngumu.

  ReplyDelete
 7. Jamani wadau kama card ni nzuri hivyo basi bei nayo lazima ichangamuke. Vinginevyo basi tuendelee na kadi za mitaani zinazo patikana kwenye stationary zetu uchwala za sh 500 hadi 1000. Jamaa anazipandia pipa la Emirate nk, wafanya mzaha weye!!?? Wacha hizo.....!

  ReplyDelete
 8. WOW SIAMINI KAMA HIZI CARD ZINATENGENEZWA TZ, HONGERA SANA SILMAL, HAYA NDIO MAMBO SASA

  ReplyDelete
 9. These Cards are EPIC, ni muhimu kujipanga ili kumudu gharama, Kizuri kinagharamiwa! Acha tujipange.

  ReplyDelete

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.