SHEREHE ZA EID !!

 La'Familia
 Baada ya swala ya Eid


 Dalilah na shostito pendeza eeh!!


 mashostu shurti za kwa sare!!!
 chezea Ghaife, Madini ya ukwee'e like mother!!!
 
  

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

17 comments:

 1. Nice family,M.mungu awajaalie kheri,mashaallaah.

  ReplyDelete
 2. Dalilah na shost wake wamependaza mashallaah,M.mungu azidi kuwapa mapenzi daima,watoto wamependeza na zahabu chezeea mama zao kwa madini.

  ReplyDelete
 3. Happy family mashaallaah.

  ReplyDelete
 4. GHAIFE NA HIDAYA MMEPENDEZA SANAA WADOGO ZANGU MASHALAA

  ReplyDelete
 5. Da Zabibu a.k.a. mama chichi-Revere massachussets,usaAugust 20, 2012 at 7:33 PM

  Ghaife uko juu sana mdogo wangu,kila kitu chako kizuri mashallah,unatupa big challenge wabongo wenzako tulio nje ya bongo,Inshallah mwenyezi mungu azidi kukupa uchamungu uzidi kumshinda ibilisi,kwani kumcha mwenyezi mungu ni chanzo cha maarifa hayo ulokuwa nayo.

  ReplyDelete
  Replies
  1. Alhamdullillah nashukuru sana dada yangu Zabibu kwa dua zako,kwani sala na kuwa karibu saana na mwenyeezi mungu ndio nguzo yangu kwani mwenyeezi mungu ni mkubwa na hamtupi mja wake,alhamdullillha.

   Delete
 6. Mashallaah bff wangu Ghaife na familia yako mmetoka sana,eid mubarak dear.

  ReplyDelete
 7. Baby Dalilah na shost wake wa nguvu Rukia nawaona wenyewe shurti kwa sare,vimependeza vyenyewe mashallaah M.mungu awajaalie mapenzi yenu inshallaah.

  ReplyDelete
 8. MASHAAALLAAH JICHO LA HASADA LISIWAPATE.

  ReplyDelete
 9. Mashallah mmependeza sana sana. Ghaife naomba kukuuliza mwanangu, samahani lakini nilisoma na MS. HILDA FRISCH JE HUYU NDO MKWEO AU ELIZABETH FRISCH, maana wote nawafahamu long time . Kama sikosei ni mama wakwezo lakini sijui yupi kati yao nashindwa kutofautisha wakwezo au wifizo??? je wako wapi siku hizi?? Kama unao huku wasalim sana sana. mwambie MAMA HILDA FRISCH kuwa aliwahi kusoma na mama anaitwa BUZI IFM !! basi atajua tu. Kila la kheri na barka tele insha Alah.

  ReplyDelete
  Replies
  1. Ameena nashukuru aunty,ndio haujakosea ni wakwe zangu na tuko nao huku,nitawapa salaam usijali,ahsante aunty B IFM.

   Delete
 10. Mashallah mmependeza sana. Baby Dalilah na shost wake Rukia mmependeza nmependa na hayo maua yenu ya piko.

  ReplyDelete
 11. Mashallah mmependeza sana. Baby Dalilah na shost wako Rukia mmependeza nimependa na hayo maua yenu ya pico.

  ReplyDelete
 12. Mashallah mmependeza sana. Baby Dalilah na shosti wako Rukia mmpendeza sana nimependa na hayo maua yenu ya pico

  ReplyDelete
 13. Rukia na Dalilah mashoga walioshibana mpaka nguo zao salesale yani wamelisi kwa bibi salama...mwenyewe angekuwa hai angefurahi sana kuona mjukuu kafata nyendo zake..

  ReplyDelete
  Replies
  1. Mola awalinde mashoga hao,jicho la hasada lisiwape,vidudu mtu visiwanyemeleee inshallaah.

   Delete