AMINA DESIGN, NGUO ZAIDI ZA WATOTO!!!

Haya haya wadau Amina Design wanataka kila mtoto apendeze, ukitaka baby wako avae unique na kama STAR nenda Amina Design Quality Plaza & Karikoo utapata nguo za watoto wa kike na wa kiume!! Amina Design katika kuwahakikishia wateja wake kwamba bei zake ni za kawaida wameweka bei ya kila nguo, yaani mteja anapofika dukani anachukua na kuondoka, wahi sasa mzigo ni mchache!!!
Wateja wote watakaokwenda dukani na kuchagua nguo umeiona MASHUGHULI BLOG au Amina Design Blogspot watapata punguzo la asilimia 25%
Amina Design inawatakia wateja wake
Ramadhaan Mubarak!!!
Watoto zaidi wavishwa na Amina design!!!, wahi sasa mzazi ukajipatie mapema!!!
 
 
 

 Naah!, kuanzia kiatu, nguo, kidandbag & hairband
Nguo za watoto wakiume kila size zinapatikana, kumbuka maduka yote ya Amina Design utapata unachotaka!!
Design mbalimbali na za ukwee'e
Swaga za ukwee'e
Tishirt za aina mbalimbali, jeans na cadet zinapatikana
Watoto wakiwa na furaha baada ya kuvaa nguo na kupendeza, si unajua watoto wetu wanazijua swaga za ukwee;e
Hii inapatikana Amina Design, umeona eeh!! swaga za ukwee'e
 48,000/=

40,000/=
  
 Top-25,000/=
 40,000/=
50,000/=
 30,000/=
 48,000/=
 55,000/=
 40,000/=
 40,000/=
 45,000/=
 35,000/=
 35,000/=
 
 Top-Price 65,000/=, hapa unapata 2, top na kikoti cha jeans!!!
 Top-35,000/=
Top - 36,000/=

WATOTO WA KIUME
 T-shirt:35000Tsh ShortPant:35000Tsh

Shirt:22000Tsh Pant:45000Tsh 
 T-shirt:40000Tsh. Jeans:35000Tsh

 Shirt:48000Tsh Jeans:45000Tsh
 T-shirt:25000Tsh Jeans:52000Tsh

Amina Design Fashionable Children Shoes Collection!!!!
Price from 30,000/=  - 40,000/= TSHS.
Usibanduke kila siku utapata vitu vipya!!! Nguo zinapatikana maduka yote ya Amina Design Quality Plaza & Amina Design

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

2 comments:

  1. mashallah very cute... lazma nije kwa mtoko wa watoto wangu inshallah..

    ReplyDelete
  2. Amina design kweli wewe uko juu unajua taste za watanzania mambo yako ya hatari sana, nimejionea nilikuwa nakuogopa kwa bei kembe si kweli watoto watapendeza sana sikuuu hii hongera

    ReplyDelete