NEW ARRIVAL @SKIN SOLUTIONS

Wadau kama kawaida ya Skin Solutions, new arrival kila wiki ushindwe wewe mwenyewe sio wao wana hakikisha products zote zile zilikuwa hadimu kupatikana Tanzania sasa zinapatikana, na sie mashughuli blog tunakuhabarisha...!!
 Blackhead eliminating Daily Scrub, hii inapigana na blackhead zilizoko usoni inasaidia kuondoa blackhead na kuacha uso wako ukiwa laini na nyororo bila ya kuzikamua!
 Hii imetengenezwa ili kusaidia kupigana na Acne pale tu zinapoanza, pia inasaidia kuondoa ule wekundu unaosababishwa na Acne!
 OLAY Products

Olay Body Ultra Moisture Lotion, Shea Butter


 
Hii toner inasaidia kuondoa mafuta usoni kwa wale wenye uso zenye mafuta zilizoshindikana, pamoja nakuondoa makeup usoni na kuacha uso msafi
Olay blemish control salicylic acid acne cleanser-hii ni cleanser ya kila siku ambayo ina vimbegu vidogo vidogo, pia inayo salicylic acid kutibu blemish na kufanya ngozi yako ionekane fresh na ya ujana!!
Hii imetengenezwa maalum kwa wale wenye sensitive skin au ngozi woga,inasafisha na kuacha ngozi safiiiii!!
 ELF  Makeup set yenye rangu 100
L'OREAL Products
 L'oreal Hydrafresh Toner, kuna kitu kinaitwa beta-hydroxy, hii inaondoa kabisa ngozi chovu, inalainisha na kurefresh ngozi yako, ili kupata ugavu na ulaini, pia alochol free!
Hii ina mchanganyiko wa tunda linaloitwa naranji, maua ya machungwa na mint, inasafisha ngozi na kuondoa uchafu ulioko ndani ndani kabisa ya ngozi, pia inaondoa kabisa ngozi mfu au dead skin, ni rahisi kutumia kwa sababu tayari ina kisugio chake, kazi haswa ya hiyo srubblet inakagua tundu baada tundu ya ngozi na kusafisha!!
Hawa ndio Skin Solutions nikisema ni proffessional na wanachofanya wanakijua nadhani umenielewa eeh!!
Tafadhali
Wafuate twitter: skinsolutionsTZ

Wapende kwenye ukurasa wa Facebook

Watumie Email kama una swali lolote skinsolutions.tz@gmail.com

Wapigie simu

+255 767 780 014
+255 783 036 666


Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

5 comments:

 1. OLAY na neutrogena ni products nzuri zana zina-softisha uso na mwili. mie natumia olay body wash usoni na mwilini kwa miaka mingi na i look good. achaneni na mambo ya mikorogo, obagi etc tumieni hizi mtaona matokeo yake mazuri

  ReplyDelete
 2. Olay ni product nzuri sana, mimi nimetumia hizo product ni miaka 30 sasa na nina umri wa miaka 55 lakini ukiniona utafikiri niko 30 years old, nazipenda sana hizi product. Dawa ya urembo ni kula vzr,(matunda na mboga za majani kwa wingi) kunywa maji mengi nakulala mapema na mazoezi kdg tu!!!!!!!!

  ReplyDelete
 3. sikatai Olay ni nzuri sana hata mie natumia lakini wakati mwingine unataka kustua kidogo mikorogo sio mibaya. mie napaka vyoote, Neutrogena na Olay na Dove na fa.... ngozi yangu haina tafauti na mtoto aliyezaliwa wiki iliyopita.....LOL

  ReplyDelete
 4. nakubaliana na wewe mdau. tena ukipata ile "Olay age defying" utashangaa ngozi inavyokuwa nzuri hutakuwa na haja ya kustua na mkorogo

  ReplyDelete
 5. wewe uliyesema unapaka neutrogena and olay na dovu tuambie ni zipi, na wa olay age defying ni ipi
  asante

  ReplyDelete