Haya haya sasa wale wateja wa Skin Solutions mliokuwa mkitaka MAKARI, mzigo ndio umetua dukani, je unajua kampuni inayotengeneza makari ni ya nani? na makari inatengenezwa na vitu gani?au unawajua mastaa wa majuu na wa bongo wenye kutumia makari?? nenda Skin Solutions ukayajue yote hayo, na pia utapata ushauri sio unaoendana na ngozi yako sio lazima makari ziko nyinginezo nyingi kuendana na ngozi yako!!
Fade Cream, hii ni ya usoni
Body Milk
Makari soap bar
Hii ni perfume ya Makari,ukienda skin Solutions kuna taster utajaribu ina harufu nzuri sana na ndani yake kuna harufu ya alhudi, jamani ni nzuri sana siwezi sema sana!!
Kama kawa Obagi wameongeza za kutosha baada ya za kwanza kumalizika!! unzuri wa wateja wa Skin Solutions wako tayari kutushuhudia mtaona hapa hapa
Revitol, haya mabo yote nimeshayazungumzia kugarisha ngozi nazo zimeletwa tena baada ya wateja kuhitaji zaidi, ndio wakati wa mgaro sikuuu hiyo yaja!!!
Body Scrub black current vanilla
Anti virus products, hizi ni kwa ajili ya kwenye mkoba wako!
Japanese Cherry Blossom Body Mist, unapata na lotion yake, vichupa vidogo kwa ajili ya kwenye pochi
Victoria Secret body mist & lotion
Skin Solution nimewakubali nilikuwa na rangi mbili usoni, nikachukua HYPER CREME within two first week nimeona changes kubwa saana ahh ni wa chocolate sasa.Na MAKARI perfume ni tamu mnoo.Thank you skin solution
ReplyDeletesasa nyinyi skin solution mnaweka matangazo na namba zenu za simu mkipigiwa hampokei maana yake nini?mnaonekana wababaishaji msituchanganye
ReplyDeleteSimu zinapokelewa jamanisio wababishaje wangejitangaza??? ndio tatizo la kwewtu sisi simu isipopokelewa mara moja mnaanaza kuropoka!! mimi namewapigia zaidi ya mara 2 wamepokea na kunisikiliza
ReplyDeleteNi Al-udi na sio alhudi, hicho ni kihaya
ReplyDeleteJAMANI NYIE SKIN SOLUTION MNAPATIKANA WAPI? ILI NIJE NIWAONE? MAANA USO WANGU HAUTAMANIKI.
ReplyDeleteNIJIBUNI TAFADHALI.
jamani wapenzi mie nataka kung'aa kabisaaa niwakeee niwe mwalabu ebu nisaidieni baasi nimeleta hoja yangu kwenye hii blog maana naona blogs nyingine wababaishaji tu....please please naomba msaada. asanteni sana God bless.
ReplyDelete